Marekani na commonweth games

Marekani na commonweth games

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
25,556
Reaction score
25,371
Nini sababu ya marekani kutoshiriki mashindano ya jumuiya ya madola, najua kuwa ina-qualify kushiriki kwani nayo ilitawaliwa na waingereza.

Ningekuwa mtu mwenye na dhamana ya maamuzi ningepiga marufuku kushiriki haya mashindani ya kutudhalilisha watu tuliotawaliwa.

pangekuawa na uwezekano hivi ungeweza kuwakutanisha Tom Mboya na wakoloni wakaka meza moja kwa namna mnavyokutana na wajukuu wa kina livingstone, carl peters, chritopher colombus.

Tusitaniane!!!!!!!
 
Wale jamaa ni kama hawajatawaliwa na waingereza kabisa.

Sisi tunajipeleka kwasababu tunaendelea kutawaliwa
 
Why would the world's only super power partake in such games?
 
Back
Top Bottom