CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Hapa ni mtoto wa kitanzania mwenye miaka miwili.yeye akilala anaota mpira,akiamka anaulizia mpira.sasa mfananishe na huyo wa kizungu alafu niambie nani anastaili kuchukua kombe la dunia?
safari bado ndefu sana!hapa ni mtoto wa kitanzania mwenye miaka miwili.yeye akilala anaota mpira,akiamka anaulizia mpira.sasa mfananishe na huyo wa kizungu alafu niambie nani anastaili kuchukua kombe la dunia?
Ngoja nifuturu kwanza kisha ntaiweka maana naona niliattach vibaya nikaisahau ya mtoto wa kizungu mkuu.Huyo wa kizungu yupo wapi?