Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Miaka mingi watu niliwaskia wakihusisha huu uwanja na jeshi ktk tafIti nimegundua si mali ya jeshi ni wa serikali ya JMT
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mshambuliaji ghali wa Yanga, Mbrazili, Geilson Santos ‘Jaja’, juzi Jumamosi alicheza mchezo wake wa nne wa Ligi Kuu Bara alipokutana na Simba kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar, lakini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
nawaombeni wapenzi wandishi wa michezo hatutaki ushauri wenu wa mpira wa miguu kuhusu timu ya yanga muiache yanga kama ilivyo ina makocha viongozi kamati kwa maana hiyo tafuteni timu nyingine...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
waamuzi wa mchezo huo wakiwa na team captains wa timu zote mbili Shabiki wa Kimondo akiogelea kwenye madimbwi ya uwanja huo baada ya mchezo kusimamishwa kutokana na maji kujaa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndanda FC imemfuta kazi kocha wake, Denis Kitambi. Uongozi wa klabu hiyo umechukua uamuzi huo baada ya vipigo viwili dhidi ya Mtibwa Sugar na kile cha nyumbani jana dhidi ya Ruvu Shooting...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Serena Williams Bingwa wa mchezo wa tenisi kwa upande wa akina dada duniani Serena Williams amekosoa matamshi aliyoyataja kuwa ya kibaguzi na kutojali ujinsia yaliotolewa na rais wa shirikisho la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja ya matukio yaliyosisimua wengi katika mchezo wa Simba na Coastal ni pale mchezaji nguli na Nahodha wa zamani wa Simba Juma K Juma alipotua uwanjani na moja kwa moja kwenda eneo wanalokaa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mechi ya jana ya VPL nilisikiliza michezo makocha wa timu mbili Tz Prisons na wa JKT Ruvu walihojiwa, Kocha wa TZ Prisons ambaye jana alifungwa goli mbili alipoulizwa kwa nini amefungwa akaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Sidhani kama patakuwa na binadamu timamu ambaye hatafurahia na maamuzi waliyoyachukuwa viongozi wa uwanja wa Sokoine wa Mbeya wa kuwasikiliza watazamaji/viongozi wa Azam TV kuhusiana na kero...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cricketer Ajinkya Rahane has said he is working towards attaining greater consistency and is looking to convert starts into big scores to secure his place in the Indian squad. Opener Rahane...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Ndugu wadau na wanasoka wote. Mimi ni mmoja wa wadau na mfuatiliaji wa ligi kuu ya kwa malkia. Naionea huruma Aston Villa na kwa vile Uingereza hawana utamaduni wa kulalamikia upangwaji wa ligi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
habari Ni weekend naangalia tamasha la fiesta nashauku ya kumwona msanii maarufu kutoka US, TI zamu ya TI ikafika akafanya vitu vyake akamaliza, ndio show ilikuwa nzuri ila sikuona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Washabiki wenzangu hebu tujadili hili tumecheza mechi 4 nakuambulia point4 ingawa hatujafanikiwa kupoteza bado lakini tukumbuke tayali tumepoteza point8 hadi sasa katka michezo minne ambayo tayali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Zamani tulikuwa na strong team kama maji maji Songea, ushirika moshi, Milambo Tabora, pamba mwanza, toto african, nk tukiwa na mastreka balaa kama akina Mbuu yondani, Salum Kabunda, Fred Felix...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jumamosi 18 Oktoba 2014 Polisi Morogoro 0 : 0 Mtibwa Sugar Ndanda 1 : 3 Ruvu Shooting Kagera Sugar 0 : 0 Stand United Coastal Union 2 : 0 JKT Mgambo Yanga Afrika 0 : 0 Simba...
0 Reactions
391 Replies
40K Views
Mod pamoja na wadau wengine wa jukwaa hili., binafsi napendekeza pawepo na ratiba ya mechi mbalimbali zinazochezwa ulimwenguni pote kwa kila siku. Kama si mechi zote basi ratiba ya zile ligi...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
nashindwa kushangaa kila nikisoma magazeti na nikisikiliza vyombo vingine vya habari wanavyo mpaisha mchezaji jaja wa yanga ivi anajua mpira kweli au mbwembwe tu za vyombo vya habari
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika kitu ambacho kimeniboa leo ni jinsi gazeti la mwanasport lilivyochapisha habari ya mbele kuifagilia yanga bila kuweka usawa wa picha zote mbili yani simba na yanga, shame on u mwanasport
0 Reactions
17 Replies
87K Views
hii imekaaje?! Edson Cavan jana alitolewa nje kw red card wakati timu yake PSG ilipochomoza na ushindi wa goli 3 kwa 1 dhidi ya Lens, kisa chenyewe ni kushangilia kama m2 anayepiga risasi(firing a...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
  • Closed
Na tusubir kuckia Yebo yebo wakitangaza ajira mpya ya kocha
2 Reactions
65 Replies
13K Views
Back
Top Bottom