Ushirikina ni janga siyo la Yanga pekee bali ni la Tanzania, Afrika na Dunia nzima kwa sababu ya uwepo wa shetani kila mahali. Ushirikina kwenye soka hauihusishi klabu ya Yanga tu bali hata vilabu vingine, hebu soma hapa:
'
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeipiga faini ya jumla ya sh. milioni moja klabu ya Simba kutokana na makosa mbalimbali ikiwemo vitendo vinavyoashiria ushirikina uwanjani.'
Source:
Adhabu walizopewa Simba na Amissi Tambwe kwa uchawi na utovu wa nidhamu - TZA_MillardAyo
Tangu zama za kale Yanga imekuwa tageti kubwa la vitendo vya ushirikina. Kumbuka kuwa Yanga ndiyo klabu yenye wapinzani wengi hapa nchini na imekuwa mhanga mkubwa kila kukicha. Mimi namwamini Yesu wala siamini katika vitendo vya kishirikina. Ushahidi unaonesha wazi jinsi Yanga inavyowangiwa, tafadhali kong'oli mwenyewe hapa:
Imani za uchawi zinavyoangamiza soka, nini kifanyike kwa sasa? - Fikra PevuFikra Pevu