Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

WAKATI ambapo Yanga ya Tanzania na Vital’O ya Burundi zinacheza nyumbani Jumamosi hii Februari 27, 2016 zikihitaji sare tu kutokana na ushindi katika mechi zao za kwanza za Ligi ya Mabingwa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Tumemsikia Muro Jana akitamba pamoja na mambo mengine akionyesha kuwa Yanga ni club yenye uwezo wa kifedha kuliko Simba tena kwa lugha ya dharau kubwa. Anachoshindwa kuelewa in kuwa Yanga pamoja...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana kuna mtu alipiga kelele hapa akiiponda ligi ya spain la liga na kuipaisha ligi ya england tukamuelewesha kiwango cha epl akakataa katakata na kuleta 'ushabiki'sasa leo afuatilie line up ya...
1 Reactions
178 Replies
13K Views
Habari wanaJF Najiuliza swali kuhusu hawa wachambuzi wa michezo kwenye TV zetu kama Azam TV Je, ni kweli kwamba mchambuzi mmoja anaweza kuwa na uelewa wa kuchambua michezo yote nikimaanisha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu yamebaki masaa kadhaa tu wakali wa Dar na Afrika Mashariki waingie katika mtanange wa kukata na shoka mishale ya saa kumi jioni. Kimuhemuhe cha kufa mtu mitaa ya Msimbazi na Jangwani huku...
9 Reactions
324 Replies
70K Views
Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki baada ya...
4 Reactions
74 Replies
13K Views
Katika hali ya kusikitisha kabisa rais wa TFF ametumia nafasi yake kuongea na media kujibu watu tunaomkosoa. Malinzi ameweka wazi kuwa anatukanwa JF(Jukwa la Sports). Sisi wanamichezo wa JF...
8 Reactions
48 Replies
7K Views
10- Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam huu ulijengwa kwa dola milioni 53 na nusu ya hela za ujenzi huo zilitolewa msaada na serikali ya China. ulifunguliwa mwaka 2007 na unauwezo wa kuchukua mashabiki...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
MATCH CALENDAR Stage Dates First qualifying round, first leg 30/06–01/07/15 First qualifying round, second leg 07–08/07/15 Second qualifying round, first leg 14–15/07/15 Second...
4 Reactions
114 Replies
17K Views
Shirikisho la Mpira wa Kikapu ( NBA) litazindua rasmi msimu wa kwanza wa ligi ya mpira wa kikapu kwa vijana kwenye kituo cha vijana cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete jijini Dar es Salaam mnamo...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye...
32 Reactions
174 Replies
15K Views
There will be a mega crusade this evening and the venue is at the Emirates stadium. Pastor Neymar will preach the word of football ,Bishop Suarez will anoint Arsenal players and Pope messi will...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Arsenal karibia ibahatike na zawadi ya kushangaza kutoka kwa mshambuliaji wa kilabu ya Barcelona Luis Suarez baada ya mchezaji huyo kuwacha pasipoti yake nyumbani kabla ya timu yake kuondoka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
NDOTO za Yanga kuingia kwenye ushindani wa kuwania mamilioni ya fedha zinaweza kupata mwanzo mzuri Jumamosi, Februari 27, 2016 ikiwa wataing’oa mashindanoni Cercle de Joachim ya Mauritius katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
“I’m so happy giving this houses free to my constituents in Sarangani Province from my own pocket more than thousand families are the beneficiaries, and i’m still building more because i always...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
Hakika leo ifikapo 10:45 pm tutashuhudia soka la nguvu UEFA pale ambapo Timu nne zitakapopambana katika mchuano huu wa 16 bora, kazi ipo jamani hasa hapo Emarate stadium? Ni nini utabiri wako?
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Poleni sana wanasimba. Yanga wameshashinda bao mbili. Simba wamekosa mabao ya wazi kabisa. Inasikitisha lakini hali ndo ipo hivyo. Mchezo umeshaisha kabla haujaanza na hii ndo sifa ya mpira wa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Back
Top Bottom