Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,916
Poleni sana wanasimba. Yanga wameshashinda bao mbili. Simba wamekosa mabao ya wazi kabisa. Inasikitisha lakini hali ndo ipo hivyo. Mchezo umeshaisha kabla haujaanza na hii ndo sifa ya mpira wa Tanzania. Tuna kazi kubwa sana. Nawatakia weekend njema.