Bondia Manny wa Ufilipino ajenga nyumba zaidi ya 1000

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,049
23,496
12742628_905415359556496_4308289634117367559_n.jpg
pacquiao-houses-1024x640-559x520.jpg

“I’m so happy giving this houses free to my constituents in Sarangani Province from my own pocket more than thousand families are the beneficiaries, and
i’m still building more because i always believe what the bible says; 1 Peter 4:8-10 NIV [8] Above all, love each other deeply, because love covers over a multitude of sins. [9] Offer hospitality to one another without grumbling. [10]

Each of you should use whatever gift you have received to serve others, as
faithful stewards of God’s grace in its various forms. Thank you Lord for everything even some people are criticizing me but I’m still happy because you live in me.”

KWELI DUNIANI KUNA BINADAMU NA VIATU.

Mfano mwema kabisa kwa wabinafsi wenye kujilimbikizia Mali tens za umma!bila huruma HATA kidogo!
 
Copy kwa Mengi,Bakhresa Dewj na wengineo...haitoshi kuitwa tajiri mwenye mafanikio katikati ya dimbwi la umaskini..pia sisi wa kawaida haitoshi kushiba na kujishika shika tumbo ilhali kuna wenzetu hata uji hawajapata,ukiwa na uwezo kwa nafasi yako mpe mtu hata kilo moja ya unga atafarijika na atakushukuru.
 
....wapo ambao hufurahi na kupiga nderemo Mara wawaonapo wengine wakiwa ktk mateso makubwa!
 
yule mwenzake wa marekani Floyd Mayweather anpost picha akiwa na mabunda ya pesa kitandani pamoja na malaya wakati ma black america wenzake wanaishi kwenye ma slums ya hali ya chini balaa
hii inazidi kututofautishia kati ya mtu mweusi na asiye mweusi
Huyo jamaa yako kwenye Avatar unafikiri alikosea mkuu alipotoa sifa za watu weusi
 
12742628_905415359556496_4308289634117367559_n.jpg
pacquiao-houses-1024x640-559x520.jpg

“I’m so happy giving this houses free to my constituents in Sarangani Province from my own pocket more than thousand families are the beneficiaries, and
i’m still building more because i always believe what the bible says; 1 Peter 4:8-10 NIV [8] Above all, love each other deeply, because love covers over a multitude of sins. [9] Offer hospitality to one another without grumbling. [10]

Each of you should use whatever gift you have received to serve others, as
faithful stewards of God’s grace in its various forms. Thank you Lord for everything even some people are criticizing me but I’m still happy because you live in me.”

KWELI DUNIANI KUNA BINADAMU NA VIATU.

Mfano mwema kabisa kwa wabinafsi wenye kujilimbikizia Mali tens za umma!bila huruma HATA kidogo!
kina Dewji, Mengi et al wakajifunze kwa huyu jamaa....
 
kina Dewji, Mengi et al wakajifunze kwa huyu jamaa....
dewji, mengi, wameisaidia sana Tanzania kiongozi, msije mkadhani kusaidia ni staili moja tu ya kujenga nyumba, mimi shule yetu mengi keshasaidia zaidi ya milioni 100 na ni ya serikali, dewji anasaidia wajasiriamali wadogo, pia ametoa ajira na huduma nyingi za kijamii kwa watanzania
 
Hapa Tanzania kuna watu wenye mioyo hiyo... ila ukijaribu tu kesho serikali inakifilisi...
 
Back
Top Bottom