Fifa XI 2015, kulikoni wachezaji EPL?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,552
Jana kuna mtu alipiga kelele hapa akiiponda ligi ya spain la liga na kuipaisha ligi ya england tukamuelewesha kiwango cha epl akakataa katakata na kuleta 'ushabiki'sasa leo afuatilie line up ya fifa lakini pia tutafute tatizo la kiwango cha epl ni nini?
 
unatakiwa ujue tofauti ya kuwa mzuri na kuvutia, unaweza ukawa mzuri lakn huvutii na ndo ilivyo kwa epl na la liga
 
Jana kuna mtu alipiga kelele hapa akiiponda ligi ya spain la liga na kuipaisha ligi ya england tukamuelewesha kiwango cha epl akakataa katakata na kuleta 'ushabiki'sasa leo afuatilie line up ya fifa lakini pia tutafute tatizo la kiwango cha epl ni nini?
labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
 
Ligi ya kipuuzi imetoa mabingwa wawili uefa mfululizo na Mwaka huu wananabeba tena LA LIGA baba lao
 
labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Matatzo ya kushabikia mpira kuanzia 2008
 
EPL ni ligi maarufu ila si nzuri wala haizidi La liga. Timu kama Sevilla, Valencia, Altetico Madrid zinatosha kabisa kuwatoa jasho vigogo wa EPL
 
Sio Valencia hii ya Neville, sevilla kalala nje ndani kwa man city, hata Madrid anatokwa jasho kwa atletico
 
labda uwe unaangalia matukio bila kuyachungua,uefa ambayo kimsingi ndio fifa wana chuki na ligi ya uingereza,2009 zilifanyika juhud za makusud ili fainal ya uefa isijirudie kati ya chelsea na man u,chelsea walihujumiwa wakicheza na barcelona drogba akataka kumdunda refa,misimu miwil iliyopita kompany wa man city alikua kwenye kiwango bora,lakin namba yake pale kikosi cha fifa ikachukuliwd na ramos,modric,marcelo,alvez hawakustahik,wanachofanya ni kulazimisha la liga ionekane bora wakat ni ligi ya kipuuzi tu
Ligi ya kipuuzi la liga??Wewe ligi yako huyo bingwa wenu leo yupo No 16 kwenye msimamo wa ligi!Kwenye Uefa hatua inayofuata ndio mwisho wenu!Na mkisgatoka tukutane tena hapa
 
Modric ana kiwango kuliko Hazard, Sanchez,Aguero,Toure na Ramos anawazid Kompany,Hummels, Stones ngumu kumesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom