Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
Wadau wa NBA hebu tukae sawa... Kama kuna somo msimu huu tumejifunza, ni kwamba "heshimu kila timu, hata kama ESPN haijawapa nafasi." ✅ Oklahoma City Thunder ✅ Indiana Pacers Kiukweli kabisa –...
0 Reactions
5 Replies
497 Views
Japo si kwa 100% of course doubts kidogo zilikuwepo kutokana na uwepo wa giants kama Al Ahly na Mamelodi, Lakini nilipotazama mchezo wa pyramids dhidi ya esperansa nilisema kwakweli isingekuwa...
1 Reactions
7 Replies
600 Views
Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia...
0 Reactions
15 Replies
909 Views
Sambamba na kichwa hapo juu kikiakisi kiarabu cha mchongo, al-furaha mutawaliya, yaani hapa naeleza furaha 3 mfululu au mfuatano, au basi kama mulivyozowea, furaha mfululizo. 1. Yanga na Ubingwa...
0 Reactions
2 Replies
248 Views
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Kocha Mkuu Wa pyramids FC Krunoslav Jurcic [emoji1082] ameuambia Uongozi wa Pyramids kuwa ana malengo makubwa na Fiston mayele na kama watamuuza basi yeye pia ataondoka ndani ya Timu hiyo Familia...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu, Leo inapigwa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ni Simba SC dhidi ya Singida BS pale katika dimba la Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 9:30...
13 Reactions
580 Replies
32K Views
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo. Mchezo huo...
0 Reactions
3 Replies
624 Views
Hii hapa ni orodha ya vilabu vilivyochukua Ligi ya mabingwa barani Ulaya (UCL-UEFA CHAMPIONS LEAGUE) baada ya Jana PSG kubeba taji kwa kipigo cha mbwa Koko alichomshushia Inter Milan,Chama lako ni...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Licha ya kuwa TFF, Bodi ya ligi na taasisi zote za TFF zipo mfukoni mwa Simba ila Kwa hili oneni basi aibu Mpanzu amemchezea rafu mbaya mchezaji wa Singida Black Stars ambayo ingehatarisha kipaji...
6 Reactions
81 Replies
3K Views
#CRDBFACup Leo kuna watu wanatamani hadi refa afanyiwe SUB Jana mechi ikiendelea Mashabiki wa Simba walirise Kwa kurusha chupa uwanjani huku wakiimba refa atolewe sub Je nikweli bila nguvu za...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
The gambling industry is growing every day in Africa, with lottery games attracting more and more young people. In Africa, Zambia ranks seventh, behind South Africa, Nigeria, Kenya, Uganda, and...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Baada ya kichaka Cha marefa wa Simba kuchezesha mechi kufyekwa Sasa imekua kama Nyoka ( kolo) wamepigwa kichwani [emoji23][emoji23] ingawa bado anapumua Kidgo Hivyo Ile ndoto ya makolo ya kubeba...
2 Reactions
23 Replies
865 Views
Kama kweli Simba inahitaji msimu ujao kufanya vizuri kimataifa na kitaifa na kuonyesha ubaya ubwela kweli basi wafuatao waachwe. 1. Che Malone Fondoh 2.Chamou Karaboe 3. Augustine Okajepha...
1 Reactions
37 Replies
13K Views
Along his wife. Aseeeeee KUDANGA mixer. Bongoland Agiza bia hapo nakuja lipia.......🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
16 Reactions
95 Replies
4K Views
Katika hali ya kushangaza kibegi maarufu cha mashabiki lia lia wa Simba kimeonekana kutelekezwa vichakani,kuelekea mwisho wa msimu ambapo Simba sc wakionekena kukata tamaa kupata hata kikombe cha...
11 Reactions
16 Replies
837 Views
1)MADRID 7-3 FRANKFURT Mwaka 1960 pale mjini glasgow nchin scotland 2)BENFICA 5-3 MADRID mwaka 1962 pale amsterdam uholanzi 3)PSG VS INTER MILAN....Matokeo nimesahau
1 Reactions
10 Replies
776 Views
Tuwe Wakwelii... Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal. Lakini kuna...
0 Reactions
2 Replies
516 Views
Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025. KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205. kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom