Wadau kama mnavyoona kichwa Cha habari kinavyosema Nina laki 5 kama mtaji kwenye betting kuelekea kuanza Kwa msimu. Nitumie mbinu Gani Ili niweze kufanikiwa kufikisha million 10 mpaka mwakani...
Ijumaa ya 16/08/2024 pazia la EPL litafunguliwa kwa mchezo baina ya Man Utd Vs Fulham kule Old Trafford.
Kuelekea msimu huu mpya wa 2024/25 tabiri Top Four yako itaishaje mwisho wa msimu.
Twende...
Serikali ya Uingereza imeingia katika mzozo na aliyekuwa mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich kuhusiana na matumizi ya fedha Pauni Bilioni 2.5 ambazo zimezuiwa katika akaunti ya benki...
Mimi ni mmoja wa watu wachache sana ambao tuliitabiria makubwa Simba kabla hata msimu huu haujaanza. Kwa maana hiyo mimi ni mmoja wa watu wachache ambao tuna kibali cha kuona na kutafsiri kwa...
Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2...
Baada ya timu ya Inter-Milan kupigwa mabao 5-0 kwenye mchezo wa fainali wa UEFA Champions league, mashabiki wa AC-Milan walijitokeza mitaani wakiwa wamebeba mfano wa masanduku ya kuzikia kuashiria...
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa...
03 June 2025
Nairobi, Kenya
PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025
Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya...
Kutokana na Bodi ya Ligi kuu kuvuruga ligi hii ya mwaka huu, nadhani imefikia wakati kuwe na makampuni binafsi ya kuendesha na kusimamia mashindano mbalimbali yaliyo chini ya TFF. Makampuni hayo...
Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa...
Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu
Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1,
Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep...
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.
Kama alivyokuwa yule mwingine shabaan nonda Papii Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni.
SALAAM WAKUU.
Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa...
Katika muktadha wa betting (kamari mtandaoni), neno "Curaçao" linamaanisha leseni ya uendeshaji wa kamari mtandaoni inayotolewa na serikali ya Curaçao, ambayo ni eneo la ng’ambo la Uholanzi...
Wimbo huu nimeufanya kwa kushiriaka na AI, nilipata wazo, nikatunga mashairi machache. Nilipopata ugumu nikashauriana na AI tukajadili tukapata mashairi.
Nikafanya prodction ya Beat kama sample...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.