Vipigo vikubwa kwenye fainali ya UEFA

Vipigo vikubwa kwenye fainali ya UEFA

Chick_tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2025
Posts
2,447
Reaction score
3,300
1)MADRID 7-3 FRANKFURT Mwaka 1960 pale mjini glasgow nchin scotland
2)BENFICA 5-3 MADRID mwaka 1962 pale amsterdam uholanzi
3)PSG VS INTER MILAN....Matokeo nimesahau
 
Ac milan ndiyo tim ambayo haipiti misimu 20 bila kubeba UEFA
 
Kuna hii ya 2017,

Real Madrid 4-1 Juventus
 
Inter Milano alikuwa anaichukulia poa PSG, sasa jana kimemlamba..
 
Back
Top Bottom