Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwakuwa mwaka jana nilikuambia tutafutane ili nikufanyie hiyo Kazi ukawaamini Wanafiki waliokuzunguka sasa GENTAMYCINE nimeshapata Wachezaji wa maana Watano kutoka Congo DR 2, Tanzania 1, Uganda 2...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Baada ya timu ya Inter-Milan kupigwa mabao 5-0 kwenye mchezo wa fainali wa UEFA Champions league, mashabiki wa AC-Milan walijitokeza mitaani wakiwa wamebeba mfano wa masanduku ya kuzikia kuashiria...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Msikilizaji anataka kusikilizwa mpira kuanzia mwanzo hadi mwisho na Kila tukio uwanjani. Kuna wakati mpira umenza lakini TBC hawatangazi mpira bali wanatangaza vitu vyao vingine kabisaaaaaa...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya...
1 Reactions
1 Replies
385 Views
Kutokana na Bodi ya Ligi kuu kuvuruga ligi hii ya mwaka huu, nadhani imefikia wakati kuwe na makampuni binafsi ya kuendesha na kusimamia mashindano mbalimbali yaliyo chini ya TFF. Makampuni hayo...
0 Reactions
0 Replies
250 Views
Azam FC wanawakumbusha watani wa jadi kuwa wao ni level nyingine, walishamwaga bilioni 250 kwenye ligi kuu na bado wanatoa pocket money milioni 50 kwa kila timu kila mwezi, kwao si chochote kumpa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni mechi ya 3 tu lakini tayari Man City ni bingwa na Halaand kashachukua kiatu Hii ligi Pep kashaigeuza farmer league kama bundesliga na league 1, Hii ligi itakuwa na ushindani endapo Pep...
15 Reactions
73 Replies
4K Views
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu. Hajawahi kuisahau Yanga. Kama alivyokuwa yule mwingine shabaan nonda Papii Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni.
2 Reactions
43 Replies
2K Views
SALAAM WAKUU. Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa...
13 Reactions
180 Replies
10K Views
Katika muktadha wa betting (kamari mtandaoni), neno "Curaçao" linamaanisha leseni ya uendeshaji wa kamari mtandaoni inayotolewa na serikali ya Curaçao, ambayo ni eneo la ng’ambo la Uholanzi...
0 Reactions
5 Replies
459 Views
Wimbo huu nimeufanya kwa kushiriaka na AI, nilipata wazo, nikatunga mashairi machache. Nilipopata ugumu nikashauriana na AI tukajadili tukapata mashairi. Nikafanya prodction ya Beat kama sample...
4 Reactions
15 Replies
875 Views
Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
3 Reactions
6 Replies
456 Views
Jana nilimuona jamaa mmoja mtangazaji wa radio fln hivi akiwa Paris Ufaransa akifurahia uwepo wake ktk jiji hilo ajabu kilicho mpelekee ni kutazama mkondo wa pili wa nusu fainali kati Arsenal na...
6 Reactions
113 Replies
5K Views
Sasa sina lawama na Simba. Kwa hili jambo lazima tufikie hatua tutumie akili na ufahamu. Hii nafasi waliyoshika Simba si ya kawaida kwa budget yao. Hawapaswi kuwa hapo. Inashangaza wanawezaje...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Tuwapongeze Simba kwa pale walipolifikisha taifa letu kisoka, kidemokrasia na kiuchumi. Timu zetu bado ni "feeder clubs" kwa timu za kaskazini lakini tumejotahidi kuivuta Africa na dunia kuelekea...
13 Reactions
67 Replies
2K Views
YANGA SC KUKIPIGA NA RAYON SPORTS JUNI 15 Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga...
8 Reactions
89 Replies
4K Views
KIla mwaka makombe wanachukuwa wao tu. Hivi kwanini wasiende ungana na wenzao wa akina Saudi na Qatar wakapambana na akina Al Nasir na Al Hilal Huko? Huu niuonevu kabisa
0 Reactions
13 Replies
591 Views
Back
Top Bottom