1)MADRID 7-3 FRANKFURT Mwaka 1960 pale mjini glasgow nchin scotland
2)BENFICA 5-3 MADRID mwaka 1962 pale amsterdam uholanzi
3)PSG VS INTER MILAN....Matokeo nimesahau
Tuwe Wakwelii...
Luis Enrique ametumia karibu kiasi sawa cha pesa ndani ya miaka miwili pale PSG kama ambavyo Mikel Arteta ametumia katika kipindi cha miaka sita pale Arsenal.
Lakini kuna...
Kikosi cha Simba SC kwa msimu wa 2024/2025.
KILICHOFUZU KUCHEZA FAINALI ZA SHIRIKISHO BARANI AFRICA CAFCC 2024-205.
kinajumuisha wachezaji kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika. Hapa chini ni...
Naomba uongozi wa Yanga , wafanye juu chini mechi ya Derby tusicheze Kwa mkapa kwakuwa uwanja ule unamatatizo ya pitch lakini pia ,inasemekana Simba Kuna vidubwana wameweka chini Ya Ardhi.
Pia na...
Wakuu,
Huu utetezi wa kusema wachezaji sio maroboti wamechoka hauna mantiki yeyote,bali hawa viongozi wa Simba wanatafuta chaka la kujificha kukwepa lawama.
Tujikumbushe wakati Young Africans SC...
Habari zenu waungwana wa humu jamiiforums
Tanzania na Uganda zikiunganisha nguvu ya pamoja tunaweza kuandaa mashindano ya AFCON 2027, 2029 au 2031?
Nilitamani sana kusema Tanzania na Kenya ila...
Ama Kwa hakika Simba hua anashiriki mashindano ya Kimataifa katika mazingira magumu sana tofauti na wapinzani wao wote,yaani wa ndani na nje.
RS Berkane wao walishamaliza ligi Yao siku nyingi TU...
Salam sana Wanajukwaa,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiri mimi ni mpenzi wa mprira wa miguu, naangalia mechi za club za ulaya, Kimataifa na za Nyumbani apa NBC. Kwa muda mrefu nimekuwa...
Wala Sina mashaka na haya niliyoyaandika.
Simba inaenda kufunzu kuingia fainali mbele ya Stellenbosch Tena akiwa kwao.
Ndugu zangu Tuache kukalili kua kucheza nyumbani ndio kigezo Cha ushindi...
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.
Mchezo huo...
Wasalaam,
Soka la Tanzania limekua kwa kasi sana hivi karibuni kiasi cha kuvutia watu kadhaa kuanza kuwekeza kwenye mpira wetu,Azam tv, Vodacom,nbc,sportpesa,GSM,MO na wengineo.watanzania wengi...
1). Kama Kawa akili za kuambiwa changanya na zakwako yaani wachambuzi wa bongo ni hatari Sanaa!
2). Simba baada ya kukosa kombe la Caf, morali ya timu imeshuka!
3). Hapo ndipo wachambuzi wakaingia...
Uefa champions league
PSG vs intermillan
Bingwa PSG
Europa uefa league
Totenham hotsper vs manchester united
Bingwa tottenham hotspers
Ecl
Real bets vs chelsea
Bingwa: real bets...
Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC...
SIMBA WANAFOSI KUSHINDANA NA YANGA-NASRI
"Siku zote najua nini naongea na nini logic ya nnacho kiongea… Ukweli ni kuwa Simba hakua na timu ya kupambania ubingwa na Yanga
Kilicho tokea msimu huu...
Wakuuu
Serikali inasisitiza Dabi iko palepale, ile kauli ya 'HATUCHEZI' imeishia wapi?
==
Serikali imethibitisha rasmi kuwa pambano kubwa la watani wa jadi Yanga dhidi ya Simba litapigwa kama...
Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi...
Mwambie kesho kocha apange kikosi B, golikipa adake manula!
Kina mpanzu, kamala، kibu, mkwara, ngoma, malon na nyota wengine wapumzike!
Mwambieni atumie kikosi B si mnajua simba ina kikosi...
Mashabiki wenzangu semeni mapema ili tupeleke report kwa baba (TFF na Bodi ya Ligi)
Hii siyo Bure kabisa binafsi naona kama tumehujumiwa kabisa
Nawasilisha hoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.