Mechi ya Morocco na Ufaransa siyo ya kukosa

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,263
Reaction score
5,171
Itakuwa bonge la mechi ambayo itawakutanisha Morocco the Atlas Lions na Ufaransa Les blues katika hatua ya robo fainali kwenye michuano ya kombe la dunia yanayoendelea Marekani, Mexico na Canada.

Siyo mechi ya kukosa hata madogo watakesha.

Kwa upande wangu naishabikia Morocco nakuiombea ishinde.

Kulingana na ukomavu na uzoefu wangu wa muda mrefu katika maswala ya mpira mechi itaenda hadi hatua ya mikwaju ya penati kuamua mshindi ambapo Morocco 🇲🇦 itaibuka kidedea na kusonga mbele nusu fainali.

Hakimi atakutana na wenzake anaocheza nao PSG "Dembelee" , Bacorra na duerte.

Nawatakia utazamaji mwema wa hii mechi natukutane tena jamvini mechi itakavyoanza.

Senior JF local, international football analyst and correspondent and FIFA delegate

adriz de mbusii
 
Bange mbaya sana wewe si umetangaza kuachana na mambo ya mpira Leo 😆 😂

Bange mbaya mamamaee 😆 😂
 
Dogo kuwa na heshima kwa waliokuzidi umri, pesa, elimu na exposure.
Kwa Elimu usijidanganye Nyangwisi wewe university haujawahi hata kukanyanga wacha mbali kusoma . Sekondari yenyewe sidhani kama umemaliza hata form 4 . Mimi sasa nina degree bado nasaka Elimu nyingine nishawahi kuwa best student shuleni katika masomo mbalimbali pamoja na kuvunja rekodi nyingi kwenye Elimu .

Pesa zinatafutwa naweza kukuzidi In Shaa Allaah pamoja na exposure kwani mipango yangu sio ya kitoto miaka ijayo nitakuwa mlipa Kodi mkubwa serikali na nitaajiri vijana wengi wa kitanzania In Shaa Allaah . Sikuambii project zangu maana tayari nishaDesing usije kuiba Idea , Maarass wewe.

Kitu peke ambacho umenizidi na nina uhakika siwezi kukuzidi ni ujinga na uvutaji wa Mabange , pumbavh Dujeumsaengmita wewe 😆
 
Gemu tafu sana hii, ika yote kwa yote safari ya Morocco imewadia. Mbappe, Dembele, Olise, Barcola, Doue, Rabiot, Upemecano. Nasikia leo kocha anapanga kumchezesha Ng'olo Kante. 😊
 
Kwa Elimu usijidanganye Nyangwisi wewe university haujawahi hata kukanyanga wacha mbali kusoma . Sekondari yenyewe sidhani kama umemaliza hata form 4 . Mimi sasa nina degree bado nasaka Elimu nyingine nishawahi kuwa best student shuleni katika masomo mbalimbali pamoja na kuvunja rekodi nyingi kwenye Elimu .

Pesa zinatafutwa naweza kukuzidi In Shaa Allaah pamoja na exposure kwani mipango yangu sio ya kitoto miaka ijayo nitakuwa mlipa Kodi mkubwa serikali na nitaajiri vijana wengi wa kitanzania In Shaa Allaah . Sikuambii project zangu maana tayari nishaDesing usije kuiba Idea , Maarass wewe.

Kitu peke ambacho umenizidi na nina uhakika siwezi kukuzidi ni ujinga na uvutaji wa Mabange , pumbavh Dujeumsaengmita wewe 😆
Muue 😀😀
 
Itakuwa bonge la mechi ambayo itawakutanisha Morocco the Atlas Lions na Ufaransa Les blues katika hatua ya robo fainali kwenye michuano ya kombe la dunia yanayoendelea Marekani, Mexico na Canada.

Siyo mechi ya kukosa hata madogo watakesha.

Kwa upande wangu naishabikia Morocco nakuiombea ishinde.

Kulingana na ukomavu na uzoefu wangu wa muda mrefu katika maswala ya mpira mechi itaenda hadi hatua ya mikwaju ya penati kuamua mshindi ambapo Morocco 🇲🇦 itaibuka kidedea na kusonga mbele nusu fainali.

Hakimi atakutana na wenzake anaocheza nao PSG "Dembelee" , Bacorra na duerte.

Nawatakia utazamaji mwema wa hii mechi natukutane tena jamvini mechi itakavyoanza.

Senior JF local, international football analyst and correspondent and FIFA delegate

adriz de mbusii
Hatari sana ,Channel 224 Dstv mapema sana au Azam 2.
 
Yule aliesema ameacha kuangalia soka ni wewe au ni yule cousin wako mabamgi adriz de mbusii ?
 
Wazungu waarabu waliopo Bara la Afrika... Maana mara kadhaa wananukuliwa wakisema hawawakikishi Bara la Afrika, na ht wakishinda Wanadai ushindi ni special Kwa nchi yao ya Morocco tu na waarabu wenzao Duniani kote, so tu balance shobo Afrika!!!
 
Back
Top Bottom