Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa miaka mingi, Ligi Kuu Tanzania Bara imeonekana kama ni jukwaa la timu mbili—Simba na Yanga—ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikinufaika na mfumo uliopo, huku timu nyingine...
2 Reactions
3 Replies
386 Views
"Mh. Spika nipongeze kwa dhati Simba kwa kutinga hatua ya fainali ya kombe la shirikisho barani Afrika kwa mara nyingine tangu mwaka 1993. Simba inapokuwa ya kimataifa mimi huwa shabiki wake...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
"Hata hivyo, Simba wasibweteke kwa kuwa mafanikio ambayo wanajivunia leo sio mapya kwa Yanga kwani walifika hatua kama hiyo mwaka juzi ambayo kwa kiasi kikubwa ilichangiwa na uwekezaji uliofanywa...
0 Reactions
6 Replies
463 Views
Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa ripoti kutoka ndani ya klabu ya Mtibwa Sugar zinasema viongozi wapo kwenye hatua za mwisho za kuinasa saini ya mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba na Yanga, Jean Baleke. Klabu...
1 Reactions
1 Replies
367 Views
Mchambuzi wa Michezo Dominick Salamba kupitia ukurasa wake wa X (Twitter) ameandika ✍🏿 "TFF wanasema wanawadai Yanga bila kutaja kiasi wanachodai huku Yanga wana kias halisi wanachodai,kwa hali...
15 Reactions
65 Replies
3K Views
"Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze...
10 Reactions
129 Replies
5K Views
Timu mwenyeji kwenye Kariakoo derby amegoma lakini bodi ya ligi wao wanatangaza tarehe ya mchezo Hawa bodi ya ligi naamini hawako timamu kichwani Majukumu ya timu mwenyeji 1.kuandaa uwanja na...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
" In 1989, French football decided to reward the best Ballon d'Or of the previous three decades, a trophy that was only given once in history." There was only one rule to be a candidate : to...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
AMRI KIEMBA "Ukitumia kanuni kwenye sehemu ambayo ulitumia busara ndicho ambacho kinawachanganya Bodi ya Ligi hivi sasa Mimi nadhani Yanga wapo tayari kucheza na kumalizia Ligi kwa mechi zote 30...
9 Reactions
129 Replies
3K Views
Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache. Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
4 Reactions
9 Replies
573 Views
Katika hali ya kushangaza na ya kusikitisha, imekuwa kawaida sasa kwa timu mbalimbali kushiriki mashindano makubwa bila kujulishwa wazi zawadi au motisha wanazotarajiwa kupewa iwapo zitashinda...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
-------------------------------------------- --------------------------------------------
1 Reactions
5 Replies
708 Views
Afisa Habari na Mawasiliano wa Timu ya Mpira wa Miguu ya 'KENGOLD Sports Club' inayoshiriki ligi ya NBC Bw. Joseph Emily Mkoko, Juni 11, 2025 amehukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa! Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Hakika mwaka huu unaenda kuisha vibaya sana kwa TFF.....wameumbuka haswaaa!! Pamoja na yote, TFF inaenda kushinda sababu mkubwa ni mkubwa tu na lazima "alindiwe" heshima yake ya ukubwa. Hata mtu...
4 Reactions
15 Replies
869 Views
Nyota wa ngumi Tanzania karim mandonga baada ya kumtambulisha mwanae kwenye vitasa , mapromota andaeni pambano la mandonga na mwanae mtapiga hela japo ni Nilaana mzazi na mtoto kupigana 😃😂🤣
0 Reactions
3 Replies
333 Views
Back
Top Bottom