Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia...
Wakuu
Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa.
Soma, Pia
Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo...
Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC.
Mwenyekiti wa Bodi ya...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa...
Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo
TAARIFA KWA UMMA
MACHI 08, 2025
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo...
Uongozi wa timu ya Fountain Gate FC yenye makazi yake Babati mkoani Manyara imemsimamisha nyota wao Salum Kihimbwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kihimbwa msimu huu amekuwa...
KIUNGO Kevin De Bruyne anajiandaa kujiunga na Napoli kwa dili la mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia makubaliano na mabingwa hao wa Italia.
De Bruyne anaachana na Manchester City akiwa...
Taarifa zinaeleza kuwa Ally Shaban Kamwe atapelekwa katika kamati ya maadili ya TFF kutokana na kauli zake za hivi karibuni dhidi ya mamlaka za mpira.
Soma Pia: Ali Kamwe apelekwa Kamati ya...
"Ni wazo tu lilinijia ghafla. Je, kuna wachezaji wowote waliowahi kuwa legends wa kweli kwenye vilabu vitatu au zaidi? Sizungumzii wale waliochezea timu kubwa tu au kushinda vikombe viwili vitatu...
Nimetafakari juu ya hili, na nikaelewa kwamba kuna uwezekano mkubwa TFF inahusika moja kwa moja kuamua timu ipi itwae ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara.
Hebu fikiria, katika misimu mitatu ya ligi...
Haijawahi tokea mtu mwenye akili timamu akawa anashabikia hizi teams kishabiki kindakindaki na akabaki na akili timamu. Lazima aache kimoja. Ushabiki au akili.
Naona tu hata humu JF wengi...
Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8...
Orodha ya Waamuzi wa kike watakaochezesha WAFCON (Women’s Africa Cup of Nations) kuanzia tarehe 5-26 Julai 2025 pale nchini Morocco.
Orodha imejumuisha waamuzi wa kati, waamuzi wasaidizi (washika...
Kuna baadhi ya taarifa muhimu na nyeti zitatolewa muda wowote kuanzia sasa”
Bodi ya Ligi imesema inaendelea vizuri na maandalizi ya mchezo wa Kariakoo Derby kati ay Yanga vs Simba uliopangwa...
Kweli waswahili husema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,,Hawa Simba wamekuwa kituko cha Karne!
Wamekuwa wakipiga debe kuwataka yanga waiheshimu mamlaka lakini Leo hii wanatoa kitamko chao...
Wakuu,
Kutoka ndani ya vyanzo vyangu vya habari na watu nyeti waliopo ndani ya bodi ya league kuu ya Tanzania wamenipenyezea taarifa kuwa derby hiyo haichezwi tarehe 15june 2025 badala yake...
Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana.
Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo...
Baada ya wadau mbalimbali kupiga kelele kuhusu JKT Queens kutokabidhiwa Ubingwa wa LLigi Kuu ya Wanawake (TWPL) 2024/2025, leo Klabu hiyo imekabidhiwa Ubingwa wake zikiwa zimepita siku zaidi ya 24...
Ahmed Arajiga na set nzima ya waamuzi wametuma barua Kwa Bodi ya ligi kuwa hawako tayari kuchezesha Derby hiyo hadi Bodi ya ligi itakapoweka sawa mgogoro Yao na timu zinazoshiriki hiyo derby...
Wadau
Inasemekana waamuzi wa kike wanaochezesha ligi ya wanawake hawajalipwa stahiki zao kwa zaidi ya misimu miwili mfululizo.
Inasemekana wakikumbushia wanaambiwa pesa zinatumika kusafirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.