Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Yaani tangu May 8 wanasema hawachezi Kwa msisitizo,wamekuja na matakwa yao manne yatimizwe lakini hakuna hata Moja lililotekelezwa, Leo maamuzi ya rais ya 25 June mechi ichezwe mashabiki yote ya...
1 Reactions
9 Replies
459 Views
Ndugu wanaSimba, Kesho hakutakuwa na mabaunsa, tujitokeze kutazama mazoezi ya timu yetu kujiandaa na mchezo tarehe 15 June 2025. Dj sinyorita atakuwepo.
1 Reactions
4 Replies
357 Views
Tottenham Hotspur imemtangaza kocha Thomas Frank kuwa meneja wake mkuu kuchukua mikoba ya Age Postecoglou aliyetimuliwa hivi karibuni baada ya kuiongoza timu hiyo kutwaa taji la Europa League...
0 Reactions
3 Replies
414 Views
Bara la Afrika itawakilishwa na timu nne katika mshindano ya klabu bingwa dunia ambapo mechi ya kwanza kwa timu kutoka Afrika itakuwa kati ya Manchester City dhidi ya Wydad.
0 Reactions
5 Replies
603 Views
Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe. Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano Sakata linapamba moto Source: Hans Rafael, mtangazaji crown media👑
2 Reactions
74 Replies
4K Views
Kutokana na uhitaji wawatu wengi kufahamu kuhusu casino za mtandaoni nimeona hatuna uzi maalumu wakujifunza na kujadiliana mbinu za michezo hiyo .kwamaana Uzi uliopo humu ni wakubeti mpira tu...
11 Reactions
28 Replies
9K Views
TFF imekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Yanga na Simba June 15 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu...
12 Reactions
100 Replies
4K Views
Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na...
25 Reactions
313 Replies
19K Views
Mnamo 07/03/2025 mida ya saa 6 usiku klabu ya simba kupitia Idara ya habari ichapisha na kusambaza habari za kutoshiriki mchezo wa ligi ambapo ulipaswa kucheza keshi yake(08/03/2025) watu wengi...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025...
20 Reactions
258 Replies
10K Views
Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu Yanga tayari wamewasili uwanjani benjamin mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa. Soma, Pia Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo...
10 Reactions
140 Replies
7K Views
Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa...
4 Reactions
425 Replies
25K Views
Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo...
5 Reactions
67 Replies
4K Views
Uongozi wa timu ya Fountain Gate FC yenye makazi yake Babati mkoani Manyara imemsimamisha nyota wao Salum Kihimbwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu. Kihimbwa msimu huu amekuwa...
0 Reactions
2 Replies
347 Views
Back
Top Bottom