Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito, Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mechi imesimama dakika nyingi kwa tukio dogo ambalo refa angeweza kuamua ndani ya sekunde 3 tuu
0 Reactions
7 Replies
624 Views
Kawaida, kiongozi wa taasisi au hata wa nchi inapotokea kuna mgogoro mkubwa unaohitaji uangalizi wako wa karibu na haraka, unaacha unachofanya unarudi kuokoa jahazi. Tumeshuhudia marais hata wa...
5 Reactions
57 Replies
3K Views
Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi? Yaani bingwa wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Barua ya jana ya TFF ilijieleza vizuri kuwa Yanga wapeleke mtaalamu leo saa Nne ,kuna majibu yoyote ? Au ni Agenda ya kututoa kwenye mijadala ya Msingi.
0 Reactions
13 Replies
613 Views
Mbunge wa Jimbo la Makete (CCM) Festo Sanga ameitaka serikali kutoa kauli kuhusu mvutano unaoendelea kuhusu Dabi ya Kariakoo inayohusisha klabu za Simba na Yanga. Akijibu swali hilo Jumatano Juni...
1 Reactions
3 Replies
491 Views
Oyaaaa , taratibu jamani embu tuwekane sawa naona vichaa wanasema huyu jamaa ndiye kawapa mafanikio mazembe Idiots, huyu alikuwa afisa wa kawaida tu pale mazembe kama vile kina Asha baraka pale...
6 Reactions
85 Replies
6K Views
YANGA Vs TFF NGOMA BADO NZITO[emoji91] Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya...
6 Reactions
128 Replies
7K Views
TFF inadhalilisha wabia wake katika kuendesha mpira wa miguu nchini kutokana na chuki za watendaji wakuu wa TFF kwa Yanga. Waamuzi kuboronga mechi, kuahirishwa derby na kuchukua juu kwa juu fedha...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Ni Historia mara ya kwanza kwa Timu ya Afrika kumfunga huyu anayejiita 3 Lions (katika 22 attempts): Ofcourse sio kipigo cha Mbwa mwizi ila hawa wadau wametukatili sana kwenye World Cup kadhaa...
1 Reactions
5 Replies
548 Views
Nimevutiwa nayo haswa hivi nataka nifunge safari kwenda Korea nikalipate hata moja nirudi nalo bongo,licha ya kuwa ma-giant ni marembo haswa,sio wanawake wetu wenye udumavu huu upwiru unatutesa mno
3 Reactions
47 Replies
3K Views
Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
2 Reactions
12 Replies
567 Views
Ter Stegen have not been a positive for the team since he came back from the injury, he forcing flick to play in UCL semi final even though he was injured whole season and szczęsny was doing...
0 Reactions
7 Replies
831 Views
Yanga Wana pointi 73 ikisusia michezo iliyobaki kama wanavyojinasibu na TPBL wakasimamia kanuni yanga watapokwa point 15 Kwa kila mechi. mara mechi tatu jumla point 45 ukijumlisha na jumla ya...
2 Reactions
19 Replies
931 Views
Ligi Ina timu 16 basi tuseme wameungana na ndugu yao mwigulu na singida yake zimebaki timu 14, alafu wakataka ligi iendeshwe wanavyotaka wao yaani waweke watu wao ndo waongoze TFF wanataka maamuzi...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeandaa programu za kusimamia na kulea timu za Taifa za vijana walio na umri wa chini ya miaka 15 (U15), 17 (U17) na walio...
2 Reactions
1 Replies
313 Views
HABARINI ZA ASUBUHI WANAJAMVI. Naomba tushirikishane mambo machache kuhusu hali iliyopo kwa sasa kuhusiana na suala la derby ya kariakoo. Je hali hii endelevu ya sintofahamu iliyopo baina ya...
0 Reactions
13 Replies
671 Views
"...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
1 Reactions
1 Replies
442 Views
Back
Top Bottom