Wapendwa SIJAWAHI kosea ndoto ZANGU
Usiku waleonnimeota BODI ya Ligi itajiuzulu siku si nyingi kuanzia sasaaa
Na taarifa za ndoto ZANGU zinasema
Itaundea BODI mpya
Na bAadae YANGA...
FIFA hairuhusu shughuli na uendeshaji wa mpira kuingiliwa na wanasiasa, au maamuzi yake kufanywa na Serikali.
Tumeshuhudia Bodi ya Ligi ikishindwa kujisimamia na kusimamia majukumu yake hivyo...
Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo
Leo...
I salute kinsmen
Hakika kwa sasa tulishajua maji na mafuta ni kipi kimejitenga .
Tumejua sasa kuwa simba alitakiwa kumaliza nafasi ya 8 ligi kuu msimu huu.
Zaidi tumejua kuwa mbeleko ule...
Unaambiwa Mafundi wa kujenga jengo Msimbazi imegeuka kila mtu anaongea LUGHA yake,wakisema lete Zege, analeta maji, leta tofali, analeta ugali [emoji849]
Guess what's real happening at kolo's...
🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇
🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu...
Mwamba Kila Baada ya dk 10 alikuwa anapost kwenye social media zake akiwananga Yanga na kampeni yao ya hatuchezi
Pia alipinga sana kuwa tamko la yanga la kutaka viongozi wajiudhuru ....halikuwa...
"Jana Marefa 9 wa Championship wamefungiwa kuto kuchezesha mashindano yoyote kwa msimu mzima unao fata
Kosa kubwa lilo fanya wafungiwe ni kudai stahiki zao na kuwaeleza matatizo yao Waandishi wa...
Kila nikiangalia la liga nachoka sana. Yani flop za uingereza ndio zinasumbua Spain yaani Raphinha na Antony
Hii ligi wanapeana nafasi sana yani mtu anapewa nafasi mpaka unashangaa sekunde 10 mtu...
MANGUNGU KUHUSU KARIA 👇
🗣"Kwa ambae atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa ambalo wewe Wallace Karia umeshindwa kulifanya, lipi ambalo yeye atakuwa ametoka...
Ningekuwa kiongozi wa Simba,nisingekubali kupeleka timu uwanjani labda kama tunasingizia swala la kuonewa.
Na kama viongozi wa Simba wanatumia propaganda kwamba eti tunaonewa na ukweli ni kwamba...
Kwa mara ya kwanza katika mashindano ya FIFA, waamuzi kwenye Kombe la Dunia la Klabu 2025 linalofanyika Marekani watakuwa wanavaa kamera za mwilini.
Kamera za Mwili kwa Waamuzi, Waamuzi watavaa...
Kumetokea nini Ligi kuu ya uingereza?
Nimeangalia msimamo wa Epl nikakuta timu mbovu ya Arsenal inaongoza ligi kwenye duru ya kwanza kwa tofauti ya point nane. Hii ni aibu aibu.
Fikiria kikosi...
Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais...
Klabu ya Auckland City FC, mabingwa wa Oceania, leo wanatarajiwa kucheza dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich, kwenye michuano ya FIFA Club World Cup. Hata hivyo, klabu hiyo kutoka New...
Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa...
Kwanza nikiri wazi mimi nilikua mpenzi, mwanachama na shabiki wa Simba sports Club..
Ila baada ya kumuona Mangungu ikulu na Kiongozi wa Sisiemu.
Na kupewa maagizo na kutoka akiwa anachekelea na...
Kwa muda mrefu sana wapenda soka wa dunia wamedanganywa kwamba ligi ya Spain ndio ligi bora na ngumu kuliko ligi zote duniani , hata pale sisi wataalam na wachambuzi wa soka tulipopinga , tena kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.