Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba...
11 Reactions
207 Replies
10K Views
Kombe la Dunia la Vilabu kwa muundo mpya linaanza rasmi leo tarehe 14 Juni 2025, likifanyika nchini Marekani, na kwa mara ya kwanza likihusisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Hili ni toleo la...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimesikitishwa kuona Rais anawaita viongozi wa Simba na Yanga ikulu. Niseme tu hizi timu zimejipa ukubwa wasiostahili. Ikitokea kwa akili yangu nikawa kiongozi wa nchi,siwezi kucheka na aina ya...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Ujumbe umefika mechi ni tarehe 25 sababu mungu wa nchi amesema Sasa wewe kolo jichanganye ukanyage taifa Leo utapigika vibaya sana sababu ushatangaziwa mechi na tff ni tarehe 25 sababu mungu wa...
2 Reactions
2 Replies
384 Views
Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie...
2 Reactions
10 Replies
461 Views
Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe...
0 Reactions
13 Replies
768 Views
Pazia la michuano ya kombea Dunia kwa ngazi ya klabu limefunguliwa rasmi Alfajiri ya leo Juni 15, 2025 ambapo wawakilishi wa Afrika, Al Ahly ya Misri wametoshana nguvu kwa sare tasa na Lionel...
3 Reactions
8 Replies
852 Views
Moja kati ya Move ya hovyo iliyofanywa na wanasiasa ni hii ya kuruhusu viongozi wa soka wajiuzuru kwa matakwa ya timu Moja Hii ni Lazima italipizwa na Simba na ndo tutakumbuka hii siku ya Leo...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu...
18 Reactions
58 Replies
5K Views
Updates: Hatimaye ametangazwa rasmi. Raia hawajalala,ni saa 6 usiku lakini ndani ya dakika 5 comments zaidi ya elfu 2 Chikwende leaves for Tanzania BY TERRY MADYAUTA FC PLATINUM striker...
10 Reactions
107 Replies
14K Views
Kujiuzulu kwa Mzee Mnguto na Almasi Kasongo kulitokana na jitihada zao za kuisaidia Simba kuondokana na kadhia ya kukosa ubingwa na kufungwa na Yanga mfululizo. Ingawa tunafahamu kuwa Kuna wengine...
4 Reactions
9 Replies
715 Views
MANGUNGU AFUNGUKA SIMBA KUCHEZA DERBY KWA MARA YA KWANZA..!! . .sisi viongozi hatuna lolote la kuongezea kile walichosema mamlaka. Ratiba ya kwanza walitoka wao, ya pili wao. Sisi kazi yetu ni...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuna Mtu kaambiwa Yanga SC isipocheza ausahau Ubunge Ilala au Kigamboni na Kampuni itaanza kudaiwa Kodi rasmi.
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakuu! Imebaki siku moja kabla ya dabi ya kariakoo hakun tiketi zilizouzwa mashabiki wanaingiaje kwa mkapa? === "Mpango wa Nyuma Mwiko kushinikiza Katibu Mkuu wa TFF na Mtendaji wa Bodi ya Ligi...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Kama mpenzi wa mpira wa Miguu na mpenzi na shabiki na mwanachama kindakindaki wa timu yangu pendwa ya Simba Sports Club nimeamua bila kushurutishwa na mtu yoyote kua Scout wa kutoa ushauri ama...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom