Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Key facts - The Buss family has agreed to sell majority ownership of the Lakers to Walter maintaining a 15% minority share for an unknown period of time according to ESPN. - Jeanie Buss...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna kolo walianza kujificha kwenye kivuli Cha kauli ya FIFA Kwamba hata wasipocheza Juni 25. Watabebwa na uchunguzi wa FIFA ila Kwa kauli ya karia ni kuwa fifa hawawezi...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Kikosi cha Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025. Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Naona simba wameanza kunenepa kwa kumfunga Kengold leo ila wakumbuke June 25 lazima amalize ligi na Yanga,Na akijichetua haitwi Ikulu kupongezwa kucheza fainali Shirikisho. GENTAMYCINE Mshana Jr
0 Reactions
3 Replies
491 Views
Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa...
3 Reactions
4 Replies
485 Views
Wakuu, Updates Goal 31' Mudathir Yahya Goal 34' Cloutus Chama Goal 56' Pacome Goal 61' Israel Mwenda Goal 77' Pacome == Karibuni kwa updates za mchezo wa aina yake na wa kusisimua utakaopigwa...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
I salute you kinsmen. Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini .. Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Kwahiyo Mwenyekiti Mangungu kwakuwa unautaka mno Ubunge ukaamua Kulainishwa na Samia pamoja na Kikwete ili Simba SC ikubali Kucheza hiyo Mechi ili tuaibike tena? Simba SC tunaenda Kufungwa Magoli...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku zote Simba awezi kuwa paka,dharau alizozifanya Africa kusini,yanga,na simba ,ken gold walifikiri atakuwa kabadilika. Leo kibao kimemuita mara tatu ila amegoma,poleni sana Ken Gold
4 Reactions
5 Replies
703 Views
Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Sijui nianzie wapi....coz mengi tayari yamesemwa kwa kina. Na Mimi naungana kabisa na watu wanaotilia mashaka uwezo wa Walace Karia...Rais wa federation. Huyu jamii hata kwa kumtizama tu hayupo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo...
2 Reactions
14 Replies
769 Views
Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
President of the Tanzania Football Federation (TFF), Wallace Karia, has undeniably made his stance clear during the ongoing controversy between Yanga and Simba. The events surrounding the...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa TAKUKURU ni taasisi huru, tafadhali chukueni hatua juu ya malalamiko yanayoendelea kuibuka, kwani watu wengi hawaridhishwi na namna Bw. Wallace Karia anavyosimamia rasilimali fedha za TFF...
5 Reactions
8 Replies
514 Views
Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, anasema kuwa Simba watacheza mchezo wa Darby tarehe 25 lakini pia tarehe 24 wataenda kufanya mazoezi na mbuzi tena beberu...
0 Reactions
13 Replies
595 Views
Ligi kuu tanzania bara itaendelea leo majira ya saa 10:00 jioni katika viwanja mbalimbali Mechi za Simba na Yanga kuamua hatma ya ubingwa.
3 Reactions
8 Replies
555 Views
Back
Top Bottom