Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wametupambania sana tangu waingie madarakani. Na sasahivi wapo ambao wamewajibika kupoteza nafasi zao sababu yetu. Mbali na kutusaidia kupata ushindi tusiostahili kwenye mechi nyingi ila kubwa...
3 Reactions
4 Replies
485 Views
Wakuu, Updates Goal 31' Mudathir Yahya Goal 34' Cloutus Chama Goal 56' Pacome Goal 61' Israel Mwenda Goal 77' Pacome == Karibuni kwa updates za mchezo wa aina yake na wa kusisimua utakaopigwa...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
I salute you kinsmen. Kila siku tunazidi kuona namna yanga inavyojitofautisha na vilabu vingine hapa nchini .. Tunaona viongozi wa yanga wakiwa ni wasomi watupu na hawachoki kusoma kujiendeleza...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Kwahiyo Mwenyekiti Mangungu kwakuwa unautaka mno Ubunge ukaamua Kulainishwa na Samia pamoja na Kikwete ili Simba SC ikubali Kucheza hiyo Mechi ili tuaibike tena? Simba SC tunaenda Kufungwa Magoli...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Siku zote Simba awezi kuwa paka,dharau alizozifanya Africa kusini,yanga,na simba ,ken gold walifikiri atakuwa kabadilika. Leo kibao kimemuita mara tatu ila amegoma,poleni sana Ken Gold
4 Reactions
5 Replies
703 Views
Kiukweli ukiangalia matukio mengi ya mpira kwa Tanzania chanzo ni uongozi mbovu tunafanya mambo kwa kubembelezana sana hakuna professionalism kabisa Ligi ya series A wanaadhibu timu bila kujali...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Sijui nianzie wapi....coz mengi tayari yamesemwa kwa kina. Na Mimi naungana kabisa na watu wanaotilia mashaka uwezo wa Walace Karia...Rais wa federation. Huyu jamii hata kwa kumtizama tu hayupo...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo...
2 Reactions
14 Replies
769 Views
Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI...
17 Reactions
35 Replies
2K Views
President of the Tanzania Football Federation (TFF), Wallace Karia, has undeniably made his stance clear during the ongoing controversy between Yanga and Simba. The events surrounding the...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikiwa TAKUKURU ni taasisi huru, tafadhali chukueni hatua juu ya malalamiko yanayoendelea kuibuka, kwani watu wengi hawaridhishwi na namna Bw. Wallace Karia anavyosimamia rasilimali fedha za TFF...
5 Reactions
8 Replies
514 Views
Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, anasema kuwa Simba watacheza mchezo wa Darby tarehe 25 lakini pia tarehe 24 wataenda kufanya mazoezi na mbuzi tena beberu...
0 Reactions
13 Replies
595 Views
Ligi kuu tanzania bara itaendelea leo majira ya saa 10:00 jioni katika viwanja mbalimbali Mechi za Simba na Yanga kuamua hatma ya ubingwa.
3 Reactions
8 Replies
555 Views
Sasa kama mnadhani GENTAMYCINE ninatania endeleeni hivyo hivyo. Simba SC tangazeni haraka Kutoicheza hiyo Mechi.
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Sisi tunaishi katika dunia yetu. Mpaka leo ligi haijaisha😂 Wenzetu waliopo mbele ya muda wanaendelea na mambo yao. EPL washatoa ratiba ya msimu mpya wa ligi, August 15 ligi inaanza. Weekend...
0 Reactions
8 Replies
659 Views
Wakuu! Umesikia huko? 'Hatuchezi' imehamia Unyamani, waimba na Vigoma kama Noma na iwe Noma na sisi hatuchezi Tangu ilipotangazwa tarehe mpya ya Dabi ya Kariakoo Simba Sc hawajaonyesha nia ya...
0 Reactions
12 Replies
814 Views
Mimi napenda sana soka. Kuna uchaguzi wa TFF mwezi Agosti, 2025. Nawashauri wajumbe watakaomchagua Rais wa TFF wamchague Ally Mayay ili awe Rais kwa kipindi kijacho. Rais anayemaliza muda wake...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa. Mwisho...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Kilichotokea kipo kwenye mipango na wote wahusika wameshirikiana katika kutengeneza hili tukio, Simba na Yanga zinatumika na serikali katika kupumbaza watu, katika kupenyeza ajenda zao za kisiasa...
7 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom