Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Timu ya Gormahia ipo katika ukata mkali (njaa kali km Somalia),na kuna hati hati ya kushindwa kusafiri kwenda Algeria kuvaana na Usm Alger kucheza mechi ya club bingwa kutokana na kukosa pesa kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawakumbusha tu wale wagonjwa,wanazi,wapenzi wa mpira wa miguu hapa Tanzania hasa wale waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu,hiyo picha hapo chini ni kikosi Bora cha mwisho kuonekana kwenye ardhi ya...
1 Reactions
1 Replies
995 Views
wanajukwaa habari za leo? huwa mara nyingi nikiingia jukwaa la michezo kwenye uzi wa team iliyojaa mashabiki maandazi Manchester United napatwa kichefuchefu na kupelekea kupigwa ban maana uko...
1 Reactions
67 Replies
6K Views
Siku ya Jumamosi timu ya Zesco kutoka Zambia itacheza na Yanga Sports Club kwenye dimba la Mkapa. Timu ya Zesco ndipo anapochezea kaka wa triple C kiungo mahiri wa clab ya Simba Adrian Chota Chama...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Hakika inashangaza sana kwa TFF kupelekwa FIFA na aliyekuwa Kocha wa Taifa Stars Emmanuel Amunike kwa kutokulipwa mishahara yake.Kwanini TFF wakati inavunja mikataba na Makocha isiwalipe kabisa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria za offside je hii ni offside au sio offside. Nomba tuanalie hii video.
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba 1.shubobo Huyu sikuwa na mashaka nae kabisa tokea alivyosajiliwa nilivyomuangalia YouTube nikaona kabisa ni mchezaji mzuri na pia nikagundua kwanini...
8 Reactions
38 Replies
5K Views
Hawa wacheza watatu wanastaili heshima ya kipekee kwa taifa letu. Kwanza wamecheza kwa kiwango cha juu kwa muda mrefu takribani miaka 15 wakiwa katika ubora ule ule. Lakini cha msingi zaidi ni...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Achana na issue ya Kapilimba, wenyewe wanajuana Mzee wetu Said Hamad El Maamry mwenyekiti wa kwanza kabisa wa FAT sasa TFF na mjumbe wa kudumu heshima wa CAF ambaye kwa sasa anasumbuliwa na...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Boo njoo vile mi nasemaka, TFF iko inaonea sn Yanga. Wamenifungia mimi kuvaa hii niniiii kaptura,ona sasa tunapoteza mechi. Yote haya ni mambo ya ovyooo
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi...... Naomba kuuliza wachezaji waliowahi kucheza Moira wa miguu nje ya Nchi walishawahi kuleta tija yeyote kwenye jamii iliyozunguka kisoka? Walishawahi kuanzisha hata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa wale wenzangu na mimi Wa kutupia mikeka Join My whatsap group! Kwa wale tunaobet double Chance, both team will score, over/under 2.5 https://chat.whatsapp.com/C9lATRU61o13bbAsVGAfmH
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda sana Kazi yako, bidii yako na Ubunifu wako ambao hauna mfano ila Kiingereza chako kinakuharibia na sijui ni kwanini hutaki Kukiboresha wakati Uwezo huo unao na ikijulikana kwamba sasa upo...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Huyu bwana mdogo anaupiga mwingi lakini hatajwi popote, sio kwenye tuzo za soka, sio vyombo vya habari. Lakini huyu jamaa ana namba kikosi cha kwanza ndani ya timu kubwa kama Azam nadhan miaka 3...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati akitambulishwa kuwa ambassador wa parimatch ambayo ni company ya kubetti Leo msanii wa kimataifa diamondplatnumz amesema pia alikuwa na mpango wa kuanzisha company ya kusaidia kuwatafutia...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumbe ni kweli mazoea hujenga tabia. Serikali yetu imeonyesha mazoea mabaya ya kutopenda kulipa madeni yake hadi ishtakiwe na kupambana mahakamani kisha linakuwa jambo LA kujisifia hadi bungeni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Imekuwa ni jambo LA kawaida kwa watanzania kutopenda kuvitukuza na kuvipenda vitu vyetu wenyewe ambavyo asili yake ni hapa hapa nchini kwetu. Imekuwa ni ya wapenzi na mashabiki wa mpira wa miguu...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Hii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa. Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya...
3 Reactions
81 Replies
11K Views
Toka hafidhi awepo pale yanga Mechi zote za yanga za mwisho yanga na azam Yanga hajawahi kumfunga azam na si goli moja zaidi ya mbili na tulisha waambia viongozi na tunapata taarifa hushawishiwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi Simba mzingatie haya Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari Mkumbuke sisi kama wana jangwani...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…