huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,519
- 1,462
Habarini wanajamvi......
Naomba kuuliza wachezaji waliowahi kucheza Moira wa miguu nje ya Nchi walishawahi kuleta tija yeyote kwenye jamii iliyozunguka kisoka?
Walishawahi kuanzisha hata academic za mpira wa miguu?
Kama hawajawahi kufanya hivo mpira wetu utaendelea lini?
Kwanin mchezaji uecheze ligi kubwa za nje huku ukilipwa hela kubwa halafu uje ushindwe hata kuanzisha academic za mpira wa miguu ukawanoa vijana wakiwa wadogo ili wajiendeleze kisoka na kuwa wachezaji wakubwa kupitia wewe?
Samata kwa mshahara unaolipwa utashindwa hata kuanzisha academic ya vijana?
Hebu kuwa mfano wa kuigwa bhana...
Tuwaache waliotangulia,
Tumhamasishe Samata awe mfano...