Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,348
217,388
Hii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa.

Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya ujirani mwema dhidi ya Uganda , amepata sare mechi 2 na kufungwa mechi 6 .

More to follow .......
------

IMG-20190708-WA0042.jpg
Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku chache zimepita baada ya timu hiyo kutolewa hatua ya makundi kwenye fainali za AFCON
 
Hii ni taarifa inayosambaa kwa kasi mitandaoni kwa sasa .
Taarifa zinaonyesha kwamba kocha huyu ameiongoza Taifa Stars kwa mechi 10 na kufanikiwa kupata ushindi wa mechi mbili ikiwemo ile ya ujirani mwema dhidi ya Uganda , amepata sare mechi 2 na kufungwa mechi 6 .

More to follow .......
Aondoke tu hakuna namna
 
Asepe tu
 
20190708_151510.jpg

Kabla ya kufuta uzi ni vema ukijiridhisha kama hizo taarifa ni za uongo ama la ! habari ile wala haikuwa uhujumu uchumi wala haikuwa matusi , tujifunze kuvumilia tusiyopenda kusikia .
 
View attachment 1149200

Kabla ya kufuta uzi ni vema ukijiridhisha kama hizo taarifa ni za uongo ama la ! habaribile wala haikuwa uhujumu uchumi wala haikuwa matusi , tujifunze kuvumilia tusiyopenda kusikia .
Kuna wakati kuna maamuzi yanachukuliwa na ukihoji unafungiwa vioo vya madirisha na milango .. Nina uzi umepigwa kufuli nimejaribu kuulizia sijajibiwa....
 
BREAKING NEWS : Aliyekuwa kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike, amefutwa kazi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ikiwa ni siku chache zimepita baada ya timu hiyo kutolewa hatua ya makundi kwenye fainali za AFCON

1149241

MAONI YANGU KAMA BRITANICCA
Hapa wamefanya kosa kubwa sana kumuondoa Amunike kwa maana sisi hata kushiriki kwenyewe tulitegemea best looser yaaan Lethoto atoe draw ndo tupite,

Kwa kifupi uamzi huu haukuzingatia kuwa Kocha siyo tu anayepaswa kuwajibishwa kama ingekuwa kuwajibishwa,
Tuanze na wabunge, kamati ya uhamasishaji na mwenyekiti wake Makonda, kama tungeshinda sifa zingewaendea wao, ila kwakuwa tumeshindwa eti wamlaumu Amunike?

NI MPUUZI PEKEE ALIYETEGEMEA TAIFA STARS KUPENYA KWA MIAMBA ILE WAKATI MAANDALIZI YETU YAPO MDOMONI MWA MAKONDA NA MANARA,

Britanicca
 
Back
Top Bottom