Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mabeki, Viungo, wawinga, na mafowadi kwenye mechi na Burundi hawakustahili pongezi pia kama za kipa wetu Juma Kaseja?
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa aliyekuwa akitizama Mchezo huko Mwanza hawezi kukataa wala kubisha kuwa Toto Africans ' wamehongwa ' na Yanga SC leo ili wacheze chini ya Kiwango, wafungwe Goli nyingi ili kuwatia Imani...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Awali ya yote tunamshukuru Mungu kwa kutupa nafasi ya kusonga mbele haswa pale tulipoona kipa anageuzwa tegemeo na wachezaji wote kumi. Mvinyo unapozidi kukaa ndipo unapozidi...
6 Reactions
52 Replies
6K Views
Kuna baadhi ya wanasiasa ama kwa kujua au kwa kutaka kwao sifa kauli zao zimekuwa zinaigawa taifa stars na wananchi kwa ujumla. Ni wakati sasa TFF iweke kanuni kuzuia wanasiasa kutoa zawadi au...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo. Sasa yale magoli ya...
11 Reactions
80 Replies
9K Views
Wandugu, Mimi sio mpenzi sana wa soka, ila huwa nafuatilia timu yangu ya Taifa, Timu yangu ya Mkoa naotoka, na timu mbili tatu ambazo zinanifutia ligi za mbele, ila sio yule shabiki ambae ni...
10 Reactions
113 Replies
14K Views
Tuseme ukweli na tuache unafiki Zahera timu imemshinda. Wengi watajivunia kumtoa Township Rollers lakini aina ya mpira tulioucheza ulikuwa mbovu sana ni bahati ilitokea na bahati huwa haijirudii...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habarini wadau wenzangu na mahaters kwa ujumla :D:D:D:D, sina kinyongo na mtu jamani...Hope nyote wazima kabisa, long time nimepotea ndugu zangu....baada ya timu yangu pendwa na yenye washabiki...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Huu ni kweli mchungu, Manula amekuwa akisemwa ni 'Tanzania one' na maneno kibao, lakini ukweli ni kipa wa kawaida sana na kwa kuwa ni wa kawaida naomba niseme timu ya Taifa na Simba hazitafikia...
17 Reactions
64 Replies
12K Views
Kocha zahera Kamati ya Bodi ya Ligi Kuu ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imempiga faini ya Sh 500,000 Zahera kwa kuvaa mavazi yasiyo nadhifu na ya heshima katika mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa ya @TaifaStars ambaye pia ni RC wa Dar Es Salaam Paul Makonda leo Sep 9, 2019, amemkabidhi golikipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Juma Kaseja, kitita cha Shilingi...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Miaka ambayo mimi nimeshuhudia mpira wa Bongo nimejionea kwamba Tanzania One Goalkeeper wote wanatokea Simba pekee. Nimeshuhudia Mohammed Mwameja,akaja Juma Kaseja na sasa Aishi Manura. Wote hawa...
3 Reactions
37 Replies
7K Views
Huyo ndio kikwazo cha yanga kushindwa washsbiki hawajui wanamuona kama malaika wa yanga Wache muendelee hivyohivyo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Swala la Jezi za Mashabiki limekuwa gumu na adimu sana madukani. Na hata hayo maduka jezi zinapopatikana bei hazishikiki,ni Wapenzi,Mashabiki na Wanachama wa Yanga watanunua Jezi kwa shilingi...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii nchi viongozi wetu wa serikali wanazani maendeleo ni ujenzi wa vitu vingine tu km SGR na Majengo marefu tu.Maisha ni pamoja burudani hasa mpira wa miguu ambao ndio kipenzi kikubwa cha WTZ...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna habari za chini chini zinadaiwa viongozi wakubwa wa yanga hawamtakii mema zahera hawampi ushirikiano wa timu kufanya vizuri
0 Reactions
2 Replies
831 Views
Itakumbukwa mwaka jana wakati ligi kuu ipo hatua za mwanzo, Simba ilifungwa na Mbao jijini Mwanza na Aussems kocha wa Simba alirushiwa chupa na wapenzi wa Simba waliochukizwa na matokeo, huku...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
https://manchesterunited.vitalfootball.co.uk/19428-2/
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Dakika 3 Stars 0-Burundi 0
6 Reactions
362 Replies
35K Views
Imekuwa kawaida kwa kauli au maamuzi ya Mkuu wa Mkoa kuonekana kufeli miongoni mwa Watanzania...lakini ule uamuzi wa kuwazuuia Wachezaji waandamizi wa Taifa Stars Erasto Nyoni na Kevin Yondani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom