Uchambuzi wangu mdogo kuhusu usajili wa Simba
1.shubobo
Huyu sikuwa na mashaka nae kabisa tokea alivyosajiliwa nilivyomuangalia YouTube nikaona kabisa ni mchezaji mzuri na pia nikagundua kwanini kocha alimuacha kotei na kumsajili huyu,huyu jamaa ana uwezo mzuri wakukaba ila anavyomzidi kotei ni kuwa na pass accurate pamoja nakushambulia kutokea katikati kwenda mbele hiv ndio vimewashawishi Simba kumsajili ndo maana sikushaa kwa kiwango kizuri alichoonyesha Jana.
2.Deo Kanda
Huyu ninauita perfect usajili na nikwanini? Mara nyingi Simba imekuwa ikiwatumia mabeki wa pembeni Kama mawinga kitu ambacho sometime kina wacost pale ambapo mabeki hao kuwa wazito kurudi nyuma na kusababisha mapengo yanayotumiwa vizuri na wapinzani wao kuwafunga na tumeona hiv kwenye mechi nyingi za caf champion league lakini kitendo Cha kumsajili real winga Kama Kanda kitawasaidia kupunguza majukumu beki kupanda Sana na pia Kanda ni mzuri kwenye kuwaangaisha mabeki pia anauwezo wa kufunga na kufungua mabeki wa timu pinzani
3.sina imani na wabrazili wote
Kiukwel hao wabrazili hawaja nifurahisha kabisa tokea walivyosajiliwa nimeangalia kwenye YouTube sijaona ukali wao wowote na pia sijajua kwanini walisajiliwa au ndio ulimbukeni wa kupenda wabrazili jamani so kila mbrazili ni mchezaji mzuri kutokana na malengo makubwa walionayo club ya Simba msimu huu sioni hawa wabrazili ni machaguo sahihi kwa simba ebu tuangalie mmoja mmoja
A.yule mbrazili kiungo
Huyu mbrazili nilianza kumuangalia YouTube nilichogundua ana uwezo mdogo Sana kwenye kukaba ingawa ni mzuri kwenye touch na pass lakini unapokuwa kiungo mkabaji kitu muhimu unatakiwa uwe nayo ni uwezo wa kukaba hivyo vingine unatakiwa viwe nyongeza hata mech ya jana nimekiona pia tena kutokana na hili sioni Kama atachukua namba kwa mkude au shubobo hata pia kwa mzamiru.
B.yule beki mbrazili
Nae huyu sijavutiwa kabisa na uwezo wake tokea nimtazame YouTube mpaka mechi ya jana ni beki wa kawaida na sioni Kama anaweza kuingia first eleven ya Simba hata Kenneth ni mzuri kuliko huyu beki
C.mbrazili straiker
Huyu ndo kabisa hamna kitu uwezo wake wa kufunga ni mdogo Sana na hata sioni akipata namba kwa John bocco Wala kwa kagere huyu atakuwa bench maker na atakuwa anakula bure hela za Simba.
N.k Me ni mshabiki wa Simba usije ukasema me ni mshabiki wa ynga kwasababu nimeongea ukweli ambao unaweza ukawa mchungu kwa mashabiki wenzangu wa Simba huo ndio mpira ndio ushabiki wakujenga .