Brazil ya mwishooo

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,078
10,384
Nawakumbusha tu wale wagonjwa,wanazi,wapenzi wa mpira wa miguu hapa Tanzania hasa wale waliozaliwa miaka ya 2000 kuja juu,hiyo picha hapo chini ni kikosi Bora cha mwisho kuonekana kwenye ardhi ya brazil ,sifa ya kwanza kwenye utamaduni wa kibrazil ili uweze kuitwa timu ya taifa lazima kwenye klabu yako uwe unapangwa kikosi cha kwanza,hawa ndio wachezaji waliomalizia samba ya kibrazil ,,dinyo wakati huo akichezea PSG ,Delima akichezea Intermilan ni hatareee ,wakati huo dunia ilikuwa inapatashida kuchagua mchezaji Bora maana ni wengi aanze Nani amalizie nani
 

Attachments

  • IMG_20190913_220818.jpeg
    IMG_20190913_220818.jpeg
    106.6 KB · Views: 17
Ila beki haikuwa nzuri ilikuwa inapitika mkuu hasa ya kati

Namwona kijana wa wenger hapo
 
Back
Top Bottom