Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Aliyekuwa kocha wa klabu ya Yanga Sc, Miloud Hamdi kutoka Algeria ametambulishwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Ismaily Sc ya Nchini Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja na chaguo la ongezeko la mwaka...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
ANDIKO LA KWANZA LA AHMED ALLY KUHUSU SIMBA YA SASA..!! . Nianze na pole kwa Wana Simba kumaliza msimu bila ubingwa katika mashindano tuliyoshiriki hususan ligi kuu ya NBC Wana Simba tuepuke...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Klabu ya Fluminense imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya Klabu baada ya kuichapa Al Hilal mabao 2-1. Mabao ya ushindi yalifungwa...
5 Reactions
5 Replies
894 Views
Kwa taarifa za kiinteligensia inasemekana Yanga Wana kikosi Cha Siri Cha propaganda ambacho huwalisha matangopori ya usajili Simba How does it work??? Ni Kwamba kipindi Cha usajili macho ya...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
@alexngereza._ anasema kuwa wanasimba mnapaswa kumuondoa Mo Dewji kwanza kuliko kupambana na Mangungu. Katiba ya Simba iliipa bodi ya ligi mamlaka makubwa ya kuendesha timu ....bodi hyo ipo chini...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
⚽ Timu zinazovaana: 🔵 Wasanii kigoma fc vs 🔴 Buhanda Stars 📍 Eneo: Buhanda Stadium – Kigoma 🗓 Tarehe: Jumapili, 6 Julai 2025 🕓 Muda: Saa 10:00 Jioni (4PM) LENGO LA MECHI: Hii si mechi ya...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Leo Lamine Yamal kavunja record Kwa Jersey mpya namba 10 yenye jina lake ya Barcelona msimu 2025/26 kabla jata kuzinduliwa na kununuliwa Kwa wingi. Haijawahi kutokea kwenye historia ya mpira hata...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Ni rasmi, beki kinda Lameck Lawi amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga nasi kwa ajili ya msimu ujao Mchezaji wa Coastal Union, Lameck Lawi amemwaga wino wa kuitumikia Azam FC kwa mkataba wa...
2 Reactions
7 Replies
692 Views
Salaam Members: June mwaka huu TFF walitoa tangazo la kuwepo kwa uchaguzi kwa nafasi ya Urais na nafasi za Wajumbe 6 wa kamati ya utendaji. Hapa utazipata updates za hatua zote za awali hadi...
2 Reactions
15 Replies
640 Views
Kwa kutokea msiba wa Diogo jota aliyekuwa ni mchezaji wa Liverpool nimeamini kwamba huu mchezo unaunganisha watu wengi sana huu mchezo unachukua nafasi kubwa kwenye maish
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno. Soma,Pia...
1 Reactions
7 Replies
900 Views
Jota kafanya niamini kuwa football au aina yeyote wa mchezo inaunganisha watu michezo inachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu
1 Reactions
0 Replies
186 Views
Habari. Wote ni wazima wa afya na vyema tuendelee kumshukuru Mungu Kwa wema wake kwetu. Twende kwenye mada Moja kwa Moja juu ya mchezaji bora mwenye nguvu na kasi akiwa uwanjani. Clement Mzize...
5 Reactions
24 Replies
915 Views
Nitaifaangalia mpira nikiwa home Mechi itaanza kwa kasi sana kiasi cha mabanda umiza kulipuka kwa change. Wale wana yanga wenye roho nyepesi wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa...
47 Reactions
153 Replies
9K Views
KOCHA wa Napoli, Antonio Conte, amewasilisha jina la mshambuliaji wa Atalanta na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookman, kwa mabosi wa timu yake na kutaka staa huyo mwenye umri wa miaka 27...
0 Reactions
5 Replies
408 Views
Mashabiki wa Liverpool, mashabiki wa EPL pamoja na mashabiki wa mpira wa Miguu kwa ujumla kwa humu jamii forums. Uzi huu ni kwa ajili ya kumuenzi na kumkumbuka mchezaji wetu pendwa Diogo Jota...
1 Reactions
8 Replies
552 Views
🚨💣 UPDATES 👇 ➡️ Aliyekuwa Kocha wa Yanga Sc, Miguel Angel Gamondi 🇦🇷 amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Singida Black Stars 🇹🇿 ✅ Gamondi anatarajia kuja Tanzania baada ya wiki mbili tayari kwa...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wachezaji wa Ufaransa waliokosa penati ni Kingsley Junior Coman na Aurélien Djani Tchouaméni. Baada ya dakika 90 kukamilika matokeo yakiwa 2-2, zikaongezwa dakika 30 matokeo yakawa 3-3, ndipo...
2 Reactions
104 Replies
9K Views
Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom