TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano...
Wakuu mpo!
Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi
Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri...
Habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kwa wale mafundi wa playstation 4, jinsi ya kukaba kwenye fifa 24 au 23, nimegundua nikiwa nacheza...
Kuelekea msimu ujao, tetesi zasema Simba SC kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake.
Kwenye dirisha hili la usajili, taarifa zinaeleza kuwa wachezaji kadhaa huenda wakaachwa au kuuzwa na...
Habari wakuu
Nimewahi kuleta nyuzi kadhaa humu jukwqani za utabiri mfano "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo...
Nianze kwa Kuwapongezeni sana kwa Kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara na hata kwa aina ya Uwekezaji wenu mzuri ambao unaratibiwa Kiustadi kabisa na Mheshimiwa Waziri Mkuu wa sasa Kassim Majaliwa...
Hizi tetesi ukweli zinachosha na kukera sana kwani jatujasahau sajili za hovyo kama akina Ateba na bado wakasifiwa na wao kutamba kuifunga yanga lakini kila mtu anajua kilichotokea.
Busara...
Kampuni ya Jay Rutty ndo ilishinda zabuni ya kutengeneza na kuuza jezi za Simba na kuwa waliweka mezani zaidi ya billion 38,
Hilinlilikuwa jambo tamu masikioni mwa wanasimba
Mbali na mapesa hayo...
Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa.
Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦:
Simba wako kwenye mazungumzo na kiungo wa Bravos do Maquis ya Angola,Higino Epalanga Kapitango (22).
Kiungo huyo anasifika kwa upigaji pasi mzuri na magoli ya mbali.
Chanzo...
Unaambiwa kuna mgogoro mzito mno huko ,inawezekana msimu ujao GODLOVE akaja kuwa mdhamini wa timu viongozi wanamuuliza mwekezji pesa ya CAF iko wapi haijulikani ilipo amesema hataki maswali ya...
Mangungu aliahidi mambo 11 wakati anaomba kura kuwa Mwenyekiti Simba. kabla ya kuhukumu rejea kwanza ahadi zake, ametimiza mangapi?
https://youtu.be/t_mRj7nOM14?si=dTAi_PkWeRMepQW_
Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.