SportsPesa ametoa bonus ya Tsh. 262 million kwa Yanga kufanya vizuri kwenye msimu. Je, kiasi hiki cha bonus kinafanana na mafanikio ya Yanga?
Yanga iendelee na mdhamini huyu?
21 June 2025
Dar es Salaam, Tanzania
TWIGA STARS YATWAA KOMBE LA MICHUANO YA CECAFA
FULL MATCH FINAL CECAFA 2025 KENYA VS TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=0D7FA4xY-K4
Hivyo michuano ya...
Ligi Kuu Tanzania, Vodacom Premier League (VPL) kuendelea kupigwa leo March 15, 2020 ambapo wenyeji wa mchezo Namungo FC wanapepetana na Yanga SC, kwenye uwanja wa Majaliwa, (Majaliwa Stadium)...
M/kiti wa Simba na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally wanapaswa kuachia ngazi kwani hao wanaihujumu simba kwa kufanya propaganda za kuisifu simba kwamba ni Bora ili ionekana ni timu Moja...
Kama kuna Kitu kinachoniuma kwa Simba SC yangu hadi sometimes huwa naamua hata Kuisusa na Kuinanga vibaya sana Mitandaoni ni Viongozi wa Simba SC na hasa Msemaji wa Simba SC kuwekeza zaidi katika...
DStv wameshtuka baada ya kupoteza mamilioni ya watazamaji wake.
Dunia ya teknolojia, watu wana stream mechi hawalipii tena vifurushi.
DStv wako mbioni kutuletea vifurushi pekee vyenye chaneli za...
Timu ya Yanga Sasa imekuwa ni daraja la makocha + wachezaji kwenda mambele wakiachwa na Yanga
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Kennedy Musonda amejiunga na klabu ya Hapoel Ramat Gan...
Tuzifahamu baadhi ya makampuni yanayomiliki timu zaidi ya moja duniani
1) The City Football club (CFG)
Hawa jamaa wanamiliki timu 13 ambazo ni
Man city ( Eng)
New York City fc (USA)
-Melbourne...
Tatizo kubwa la kwanza simba lina fichwa na tajiri mo kwa kukubaliana na hao wazee kula 50 kwa 50 sababu yeye angekua mhanga asingekubali kuwa simba mpaka sasa amin hakna mapenzi ya hasara hata...
Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars zamani Simba Sc Amejiunga na timu yake ya Zamani Azam FC Kwa mkataba wa miaka 3, Aisha anaondoka Simba baada ya kukosa namba mbele ya Spider man...
Ngao ya jamii ilikuwa ni timu 2 kwa miaka mingi lakini Simba ilipoanza kukosa nafasi ya kushiriki, Karia akaongeza ziwe timu 4.
Nasikitika kusema kwamba kwa maksudi mechi za nusu fainali wanaweza...
Hili jamaa bwana linashangaza sana , unadai unataka kuongoza mbona unamuogopa Eng Hersi pale Yanga wakati ni mwanachama wa Yanga tena mkongwe kuliko Hersi?
Au kWa sababu TFF hakuna makelele na...
Aliyekuwa Mchezaji wa Simba SC Luis Miquissone Raia wa Msumbiji ametambulishwa rasmi kama Mchezaji wa Al Ahly ya Misri, mitandao mbalimbali imeripoti kwamba Miquissone atakuwa analipwa mshahara...
Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo...
Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha...
Hivi kweli wachezaji wetu ni wanakosa koneksheni au bongo kama mbele
Ikumbukwe Novatus akitokea huko nchi ya ahadi Sasa anatamba soka la Turkey
Kwa Nini Mzize asiwaze Kutimkia nchi kama hizo!?
Hizi ndizo Timu tatu ambazo tayari zimeshaonyesha Nia ya Kumsajili Mchezaji Emil Mpanzu tena kwa Fedha nono sana....
1. KRC Genk
2. Brest FC
3. RS Berkane
Ila Mimi kama GENTAMYCINE mwenye...
Chelsea imefuzu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu (FIFA Club World Cup) baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fluminense ya Brazil. The Blues sasa wanasubiri mshindi kati ya PSG na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.