Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Najiuliza hili swali nashindwa kupata jibu, kati ya wachezaji waliopata mafanikio makubwa na muda wote toka Tanzania iumbwe na Toka kabla makubaliano ya bandari hayajafanyika ni Mbwana Samata...
11 Reactions
104 Replies
14K Views
Kiungo mahiri kutoka Hispania, Martin Zubimendi, hatimaye ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa Arsenal akitokea Real Sociedad kwa dau la Pauni Milioni 51. Zubimendi, ambaye kwa muda mrefu...
1 Reactions
3 Replies
353 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Mkuu wa TFF, Wakili Kiomoni Kibamba, ameshangazwa na baadhi ya mawakili wanaopinga uamuzi wa Kamati hiyo kuwaengua wagombea wanne wa urais wa TFF. Wakili Kibamba...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Wenye mamlaka za soka Tanzania inabidi watulie na wawasome hawa Yanga na nini hasa wanataka kufanya wanaposema wanasusia derby. Yanga wameshapiga mahesabu kuwa hawawezi kushushwa daraja hata...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita...
8 Reactions
22 Replies
4K Views
Kumbe waamuzi wetu wengi ni wapuliza filimbi sio waamuzi. Waamuzi wetu wanapuliza filimbi nyingi sana kuliko inavyosrahili. Waamuzi wa Misri wametuonyesha kuwa mpira wa miguu ni mchezo wa...
3 Reactions
7 Replies
620 Views
Jana nilicheki mechi ya Fluminense vs Al Hilal na Leo nikacheki mechi ya PSG vs Bayern Munich Nilichokiona kwenye mechi hizo mbili kimeniambia kwa nini Ligi kama ya Saudi Arabia itaishia kuwa kama...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake André Silva, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Huyu muarabu anaonekana ni mshenzi sana yaani wachezaji wote wa Liverpool wamempost jota na wengine wengi wasio wa Liverpool wamepost jota ila huyu jamaa katulia kimya kama hayupo duniani mpaka...
2 Reactions
137 Replies
5K Views
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA (#FIFACWC) mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na...
0 Reactions
11 Replies
654 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwafahamisha wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika (partner) wa michezo ya...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Klabu ya Fluminense ya Brazil imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
0 Reactions
2 Replies
620 Views
Mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota, ameripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari huko Uhispania akiwa na umri wa miaka 28, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ureno. Inaripotiwa kuwa Jota...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwanzia sasa Hakuna mchezaji atakaevaa Jezi namba ishirini pale Liverpool, Jezi imestaafishwa kama heshima kwa Diogo Jota. RIP Jota, na Ahsante Liverpool kwa kutambua mchango wake!
4 Reactions
11 Replies
673 Views
Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau...
0 Reactions
4 Replies
633 Views
Wachezaji wa Liverpool wameungana na familia na marafiki katika mazishi ya mchezaji Diogo Jota na kaka yake, siku mbili baada ya kaka hao kufariki katika ajali ya barabarani nchini Uhispania.Ibada...
1 Reactions
6 Replies
455 Views
Back
Top Bottom