Katika maazimisho ya miaka 50 ya Askofu Isack Amani wa Arusha na kuimarisha umoja baina ya watumishi wa Mungu , kulichezwa mechi muunganiko wa wachungaji vs mapadri wa Arusha .
Kiukweli...
Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa...
TATIZO LILILOJIFICHA KWENYE KIVULI CHA MWEKEZAJI WA SIMBA.
Lakini ni Moja ya Tatizo kubwa sana Pale Simba,Muda mwingi yupo upande wa Mwekezaji,Wanapokezana vijiti na bosi wake
Wachezaji Wengi...
Inasemekana yanga wamemsajili kiungo namba sita wa CS SFAXIEN ya Tunisia mchezaji huyu alicheza vizuri sana kwenye mechi za makundi za kombe la confederation
Simba ndo walikuwa ndo wakwanza...
I have seen trending videos Of Simba fans with fan engagement chairman about Mangungu situation in Simba sc . Here is my say :
Mangungu Ana makosa gani ??
Mpira achezi yeye ??
Wachezaji...
Ni Kweli Ligi NBC ni Mabingwa..
Ni Kweli FA ya CRDB ni Bingwa...
Pale CAF zile ranking zinaeleweka ?
Tujionee wenyewe, Mnyama Yuko juu Hata ya Pyramids....! Mnazielewa hizo ranking.?
1. Al...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu...
Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo...
Watu Wengi Wanafatilia Mpira na Kuijua Club Ya As Monaco ambayo Hivi Karibuni Imemsajili Ansu Fati Na Kiungo Paul Labile Pogba.
Lakini Hawajui Kuwa Monaco 🇲🇨 ni Nchi ambayo inaongozwa Kifalme ...
Salute kwenu Wana Lunyasi!
Niende kwenye Mada,
Mashabiki na wanachama wa Simba tunamkosea Sana Mangungu. Huyu ni kiongozi yupo kama kipofu hata ukimvutia shimoni anaenda maana haoni.
Kipindi...
Wale wakongwe katika mchezo wa soka la Bongo, tukumbushane majina ya wachezaji waliopo katika kikosi hiki cha Yanga.
Picha nimeitoa Mtandaoni tu sio yangu.
TRANSFER NEWS LIVE[emoji599]Budo Mutale is here to stay[emoji419]
Niko hapa kuthibitisha kwamba Simba wataendelea kubaki na Budo Mutale msimu ujao.
Baada ya kuwaka mwishoni mwa msimu Simba...
Mbagala Zakheem sijui Rangi tatu ni sehemu za ovyo na za hali ya chini sana kwa jijini Dar es salaam.
Mahela yote ya wazungu ukashindwa hata kumjengea mzee wako mtoni kijichi
Diamond sio mjinga...
Mashabiki wa mpira waislamu wameonywa na kutahadharishwa kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe wa maandishi R.I.P Diogo Jota kwani ni dhambi na kinyume na mafundisho ya kiislam kwasababu Diogo...
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.
Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya...
Mimi ni mpenzi wa Simba lazima nikiri wazi.
Kwq namna taarifa zinavyokuja kama tetesi,sizitofautishi sana na zile za mwaka jana.
Mashabiki wengi wa Simba hawakuwa wanaamini kwamba Chama...
Juzi palikuwa na msiba wa mzee Ally Pazi Samatta,,media zote zilitoka na kumuaddress kama baba mzazi wa Mbwana Samatta it's true but hamna anaekumbuka kuwa mzee Samatta ni gwiji mstaafu wa soka la...
Kwa mara ya kwanza, China imeandaa mechi ya soka inayochezwa na roboti wa umbo la binadamu (humanoid robots) wanaojiendesha kikamilifu kwa kutumia akili bandia (AI), bila msaada wa binadamu wakati...
Mchango wa wachambuzi usibezwe katika kuisukuma Yanga kuendelea kufanya vizuri viwanjani.
Kuna wachambuzi ambao wanatafuta na kuyasema mapungufu tu ya Yanga kila siku na kila wakati wanapopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.