Ile slogan ya nguvu Moja naiona kabisa kuwa haiakisi uhalisia wa timu ya Makolo. Timu inagawanyika kirahisi sana ....Kila mtu yupo tayari kuitisha press conference kuzungumzia...
Wakuu kama mnavyojua kiongozi Bora lazima awe na msimamo usiotetereka hasa taasisi yake inapopitia changamoto yeyote.
Mangungu toka Mwaka 2023 amekuwa akisakamwa kila Kona na wanasimba...
Yanga sports club pamoja na kutwaa ubingwa wa 2024/25 lakini still club inakosa pesa ya kufanya usajili. Pamoja na kunywesha watu supu za ngamia na chapati na hamna ela niuzwazwa wa hali ya juu...
Kiungo wa Young Africans, Peodoh Pacome Zouzoua, ametangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Juni katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025. Zouzoua aliwashinda Clatous Chama wa Simba na Kibu Denis wa...
Basketball Bet
Ni hiv basketball nayoinabetiwa kama michezo mingine tu inavyobetiwa tu,
Isipokua kwenye basket hatupendelei sanaa kubet ishu za normal et flan ashinde au flani asishinde, kwani...
Hakika hii timu sasa itakuwa kama Namungo.
Huwezi kutengeneza kamati ya usajili ya kipuuzi kabisa na mtu wa hovyo mali ya utopolo ngungu boy akiwemo.
Kamati hii huenda ndiyo inayokwamisha...
Ninaona baadhi ya waandishi nadhani waliolipwa kuchochea moto pale Simba wakitumia nguvu kubwa kumtetea mangungu.
Wakati Mangungu akiahidi kuifunga yanga,hakuna aliyeleta uchambuzi kumsuta mtoa...
Wakuu,
Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote.
Nadiriki kusema, kama huyu mwamba...
Tumesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya mashabiki kutaka kumchafua na kumlazimisha Mh. Mangungu, Mtu wa maana kabisa! Mtanzania mwenzetu aliyepata nafasi yake kihalali kabisa, Mtu wa watu...
Habari Wakuu.
Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe...
Klabu ya Simba imeruhusiwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 14 Juni 2025, siku ya Jumamosi ambayo ni siku moja kabla ya mechi ya 'DABI' dhidi ya Yanga SC.
Wizara ya Habari Sanaa...
Habari.
Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:
Leg 1.
27 April 2021 Tuesday
Paris Saint Germain Vs Manchester City
Real Madrid Vs Chelsea
Leg 2.
04...
I will be short
Mzize zamalek deal. Madalali wamekuwa wengi kama board Yamakolo (Simba sc )
The deal has been stalled , due to large number of unknown agents , with zamalek unaware who to...
Shalom shalom
Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana...
Mohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa...
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana...
1. Wachezaji Chamou Karobue, Che Malone, Fabrice Ngoma, Valentine Nouma, Joshua Mutale, Steven Mukwala, Jean Charles Ahoua, Augustine Okajepha wakiendelea kuwepo ndani ya kikosi.
2. Kocha Fahdu...
Timu nzuri inajengwa na kocha sio wingi wa mastaa, kocha ndio anajua taaluma yake inahitaji wachezaji wa aina gani, PSG iliwahi kujaza mastaa kibao na haikuwahi kufanya vizuri kama PSG hii yenye...
Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara.
Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.