Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,033
- 33,020
Timu ya Yanga Sasa imekuwa ni daraja la makocha + wachezaji kwenda mambele wakiachwa na Yanga
Aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Kennedy Musonda amejiunga na klabu ya Hapoel Ramat Gan Givatayim ya nchini Israel.
Mshambuliaji huyo wa Zambia aliichezea Yanga SC kwa misimu miwili na nusu tangu alipojiunga klabuni hapo mwaka 2023
#scopeboii #ScopeMedia
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app