Kwanza niweke record sawa mimi sitetei Feminism......na sio feminist at all.
Jana nimetizama mechi kali sana ya wanawake kati ya Nigeria vs Tunisie wao wanaita Wafcon... (3-0)
Niseme ukweli wale...
YANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI
Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa...
Mashabiki wa Simba SC msimu huu wameachwa na maswali mengi baada ya uongozi wa klabu hiyo kutangaza kuwa kikosi cha msimu wa 2024/25 kina thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5. Hata hivyo, hali...
Timu ya taifa ya wanawake Twiga stars wamepoteza mechi yao kwanza katika mashindano ya kombe la mataifa Afrika kwa wanawake yaani WAFCON dhidi Mali kwa goli 1-0
Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka...
Leo Tarehe 7/7)2025 naandika huu uzi kama utabiri
Azam Fc ina resources zote pesa, uwanja na wachezaji wazuri wenye viwango vya kimataifa. Ni kawaida kwa mashabiki wa Simba au Yanga kuiita azam...
Ni kama bado naona timu hizi za Simba na Yanga zenye utajiri wa Mashabiki zikazane kubuni mbinu mbalimbali kujiongezea mapato.
Kwa mfano vipi kama wataingia makubaliano na Kampuni za Bia na Soda...
Hivi kweli Wanamichezo hapa JamiiForums tukiweka pembeni Mahaba yetu kwa hizi Timu zetu kabisa tukifanya thorough analysis kuanzia Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ianze mpaka hivi juzi ilipomalizika na...
Wakuu hamjambo,
Usiku wa leo Saa 4:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki, Timu yetu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) itashuka dimbani dhidi ya Mali katika mchezo wa AFCON ya Wanawake huko nchini...
Huyu jamaa, wachezaji wenzake wote wameudhuria mazishi ya Diogo jota ila yeye peke yake alivyokua na roho ngumu akaendelea kula Bata kwao na video zake zikimuonesha yupo club Colombia Sasa...
Mbunifu wa mavazi Sheria Ngowi, aliyebuni jezi za Yanga kwa misimu minne mfululizo ameipa mkono wa Bye Bye Klabu hiyo hivyo kumaanisha Uzi wa Yangu 2025/26 hazitabuniwa na mbunifu huyo.
Niende moja kwa moja kwenye mada, kama title inavyosema lengo nataka kufahamishwa hivi lile PAREDE la ubingwa wa kiatu cha JEAN CHARLES AHOUA, pamoja na cleanshit za MUSA PINPIN CAMARA litafanyika...
Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi...
Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
Salaam Members!
Thomas Partey, mchezaji wa zamani wa Arsenal, afunguliwa mashtaka ya ubakaji mara tano na shambulio la kingono moja, imetangazwa na Huduma ya Mashtaka ya Umma (Crown Prosecution...
Kazi ipo msimu ujao,ligi inaenda Kuwa ya moto haswa,niwaombe timu yangu ya Simba tuacha masihara Kabisa Kuanzia Sasa tuendako ni machozi jasho na damu...watu hawataki masikhara Kabisa sshv.
Wakati wanaposajili wasisahau ile nafasi ya pili kwenye ligi ya NBC waliipataje. Wasije wakasahau kuwa walikuwa na timu mbovu iliyosaidiwa kumaliza katika nafasi ya pili kwa msaada wa waamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.