Hello wana Jukwaa,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi.
Hivi viongozi wa Simba umakini wenu aliondoka nao Hans Pope kweli cream kama Tshabalala The Captain, the only one & the top in SIMBA Sports Club...
Tafadhali sana yeyote mwenye access ya kumpata mzee Mangungu amfikishie hii habari.
Mangungu wewe ni shujaa wetu unaipenda Simba kuliko Mo Dewj. Tafadhali tusajilie wachezaji bora achana na...
Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu...
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to...
Kurusha mawe kwa Mangungu ni kupoteza muda tu, hata ikitokea kajiuzulu Mambo yatakua hivyo hivyo tu.
Mangungu anatumika ana watu nyuma ya Pazia Hana sauti na Hana uwezo wowote wa kupambana na...
Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5...
Wakati wa kusajiri wachezaji umefika, ni sasa. Kama yupo mfadhili, kiongozi, mwanachama, shabiki, mchambuzi, mwamuzi, mchungaji, sheikh au mganga wa jadi anataka kuisadia timu yake kupata matokeo...
Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge...
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi wa shirikisho la riadha Tanzania ~RT Bw. Leornard Thadeo ametangaza uchaguzi wa rais na wajumbe kufanyika tarehe 16:08:2025 katika hoteli ya Aden Palace, Jijini...
Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23).
Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni...
Habari za wakati huu wakuu..Hopeful mko poa,,Mimi in shabiki mkubwa sana na mchezaji pia wa mpira wa Kikapu..Karibuni kwenye Uzi huu mahususi kabisa kwa Mpira wa kikapu kwaajili ya kupeana...
"Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara.
Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha...
Yanga inatosha jamani mtatuua haiwezekani Kila mchezaji tukitia maguu nyie mnapita nae, Yanga wanachotufanyia ni unyama unyamani wanatunyoosha
Huyu ni mchezaji wa nne wanapita nae na ndio maana...
Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF Wakili Kiomoni Kibamba akizungumza n kuhusu malalamiko dhidi yake kwenye mchakato wa uchaguzi TFF. amesema mawakili wote walimdhalilisha atawapeleka mahakamani...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care).
"Taarifa tu ni kwamba usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.