David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,673
- 5,204
Nimeachana rasmi kubet football nimehamia basketball..aisee najuta sijui kwanini nilichelewa kuijua basketball yaani uku pesa nje nje hakuna vyuma kukaza.
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5 hii ni mara 8 mfululizo na shinda tu tangu nijiunge.Football ni ngumu mno
Jana nitumia sh300 tu nimeshinda laki5 hii ni mara 8 mfululizo na shinda tu tangu nijiunge.Football ni ngumu mno