"Kwa hiki kichapo cha jana cha PSG
wakulaumiwa ni Mangungu tu.
Kwa nini aliwauza Messi na Mbappe?
Huyu Ngungus ni wa kunyongwa tu".
Ameandika Msemaji wa zamani wa Vilabu vya Simba na Yanga Haji...
Niseme tuu kuwa matokeo ya mchezo wa jana yalinihuzunisha sana. Miungu ya mpira ilishindwa kumzawadia PSG kombe pamoja na kwamba mchoni pa wengi ndio ilikuwa timu bora. Mpira ni magoli, Chelsea...
Timu ya mpira wa kikapu ya phoenix Suns imekamilisha dili la kumuuza nyota wao Kevin Durant [power forward] kwenda katika timu ya Houston Rockets.
Kevin Durant ataungana na wakali kama Jalen...
3 weeks clean, phew! [emoji28]
The urge is real but nimepambana kushindana nayo. I’m actually not happy, ila I feel I’m getting my old self back.
I’m glad some good few people in here reached...
Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia...
Wakuu,
Wekeni utabiri wenu kuelekea mechi hii PSG wanasema hakuna mtu kulibeba inawezeka kirahisi hivyo?
Mechi ya fainali ya Kombe la Dunia kwa Vilabu kati ya Chelsea ya England na Paris...
Kwa wale wanasimba.
Msimu wa 24/25 kuna mambo yametokea ambayo wanasimba wamedhurumiwa kwa nguvu.
1. Simba waligoma kucheza mchezo wowote hadi wahuni waliosababisha vurugu kuelekea mechi ya...
Mambo vipi wadau! Leo ni siku ya kipekee kwani tunasubiri fainali ya FIFA Club World Cup 2025 kati ya Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG) itakayochezwa saa nne usiku (10:00pm EAT) kwenye dimba...
Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38,120,400,000 na Kampuni...
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa...
Mimesoma chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram akizungumzia uhamisho wa Kennedy Musonda aliyekuwa mchezaji wa club ya Yanga ambaye kwasasa katimkia timu moja huko Israel.
Maswali...
Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu...
Barua hii imfikie waziri wa wizara yetu pendwa ya SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO Mh. Paramagamba Kabudi
Kwanza napenda kuipongeza serikali chini ya Mh. Rais Samiah Suluhu kupitia Wizara ya michezo...
Yanga inaweza kuwa na msimu mbaya kuliko mingine yote katika historia yake tangu kuanzishwa kwakwe.. Nimetumia neno INAWEZA kwakuwa bado ina nafasi ya kufanya jambo
Rangi, maumbo na michoro...
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji...
hebu tuangalie utabiri wa mechi ya YANGA SC dhidi ya SIMBA SC tarehe 25 Juni 2025 saa 10 jioni, kwa kutumia numerology – sayansi ya kiroho ya namba, ambayo huangalia msingi wa namba ya tarehe...
Labda niwaambieni tu Uongozi wa Simba SC kuwa Rais mpya wa CAF Bwana Patrice Motsepe haungwi (hakuungwa) Mkono na Rais wa TFF Bwana Wallace Karia ambaye inajulikana alikuwa ni Mtu wa aliyekuwa...
Mtoto wa mzalendo wa mchezo wa riadha mzee John Stephen Akhwari aitwaye Rogath John Stephen ajitosa kuwania urais wa shirikisho la riadha Taifa (RT), ni kocha wa riadha wa jeshi la polisi kwa mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.