Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa mpira anao upiga kijana itoshe kusema kua sisi Wana nchi tumekubali kua mwaka huu ama zetu ama zao Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu, sote tumeshuhudia wiki za usajili wa vishindo ambao umetikisa jiji kama sio nchi kwa ujumla wake. Naweza kusema matukio makubwa ya kisiasa yameweza kutulizwa na muingiliano wa mambo ya...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
habari za asubuhi wana jamvi, pongezi kwa timu zote zinazofanya usajili huku tukiona majina makubwa ya kitua nchini toka nchi jirani tena wakiwa na bado na mikataba na timu zao kama vile hawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ombi langu kwenu wananchi tukaribisheni siku ya mwananchi Kama kweli mna nia ya kupima team yenu kwa usajili mlio fanya. Tutawapangia kikosi rafiki Kama hiki. 1. Salim 2. kameta 3 Gadiel...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi Jerry Rebiam Medson Kyando ni mshabiki mkubwa na lia lia wa Barcelona Fc na Simba kwa Hapa Tanzania, kwa kipind cha hii miaka mitatu sikufurahishwa na matokeo ya Barcelona kwa upande wa...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari wakuu Nimemuona yule Mchezaji mpya wa Yanga kutoka Angola kisaikolojia hajapenda mazingira ya uwanja wa mazoezi alokutana nao baada ya kufika mazoezini Na kwa hili yanga wasipolichukulia...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo hii nchi nzima ni aidha Yanga au Simba, hata watu ambao hawaishi Dar lakini ni washabiki wa Yanga au Simba kwanini? Wewe unaishi Mwanza au Arusha Yanga au Simba inakuhusu nini? Huko uliko...
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Swali kwa wana Simba na wengineo: Uwekezaji wa simba Mo anamiliki 49%, wanachama wengine wa simba wanamiliki 51%. Why bilioni 20 ya Mo Dewji tu ndio inakomaliwa iwekwe? Na kwa nini wanachama...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa nimeshangazwa kusikia kuwa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Klabu Bingwa nchini Tanzania ya Simba Sports Club Senzo Mbatha Mazingisa ameenda kuwa...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Heshima kwenu wapenzi wafatiliaji wamichezo na wanamichezo kwa ujumla! Moja kwa Moja niende kwenye hoja yangu. Hivi karibuni kama wiki3 zilizopita tulishuhudia kuona uliyokua uwanja wa Taifa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
In a strange turn of events, Bayern Munich has threatened to not allow their players to go to the German national team if a certain event happens. That event, believe it or not, is if Marc-Andre...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuanzia Leo GENTAMYCINE nitaanza kuwa makini sana hasa pale Mtu akiwa 'anamdhalilisha' au 'anamdhalilisha' fulani kwani badala ya Mimi kuanza kuona kuwa ana 'Makosa' huenda kumbe akawa yuko sahihi...
8 Reactions
5 Replies
2K Views
Soka la Bongo bhana, wakati Simba ikiwaza zaidi kushindana kimataifa na kupiga hatua flani kimataifa, timu nyingine zilizobaki za Ligi Kuu zinafikiria kushindana tu na Simba. Mfano Yanga, wao...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Dr. Msolla kwa nia njema kabisa alisema kuwa wadau wa Yanga wachangie fedha ya kusajili wachezaji 2 wa kigeni. Kwa kauli hii dk Msolla Amevuruga saikolojia ya wachezaji, amevuruga saikolojia ya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo jumapili ya 23/08/2020 baada ya watu kumaliza shughuli zao, kazi itakuwa ni moja tu, huko Estadio da Luz, nchini Ureno ambapo kutapigwa Fainali ya aina yake kati ya PSG Vs Bayern Munich. Ni...
11 Reactions
261 Replies
22K Views
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dkt. Mshindo Msolla amethibitisha kuwa wameliingiza jina la kiungo mshambuliaji Bernard Morrison katika mfumo wa usajili wa wachezaji wa klabu hiyo (Transfer Matching...
5 Reactions
89 Replies
18K Views
Ulihitaji macho na sekunde kadhaa kugundua kipaji cha ajabu Ambacho Mungu alikiweka KWENYE mguu wangu wa kushoto. KAMA TAIFA HATUNA HAJA YA KUWATAFUTA KINA MORRISON WA GHANA NA KWINGINEKO...
2 Reactions
0 Replies
870 Views
Baada ya kufuatilia usajili wa timu mbalimbali nategemea kuona ligi ya msimu huu wa 2020/2021 utakua msimu wenye ushindani wa hali ya juu kulinganisha na misimu ya nyuma. Simba ambao ni mabingwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Gogoro Simba la kumtimua mo linasubiri pale tu mo atakapoweka 20 bilioni kwenye account ya Simba. Nadhani hata mo analifahamu hilo vizuri ndo maana anachelea kuachia zigo. Simba wanataka mo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tuhuma za Mo mfanyabiashara mkubwa na mdhamini wa timu ya mpira ya Simba za kuingiza siasa kwenye michezo kwenye tukio la SIMBA DAY kwa kumfanyia kampeni mmojawapo wa wagombea urais Tanzania kama...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…