Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,790
Tuhuma za Mo mfanyabiashara mkubwa na mdhamini wa timu ya mpira ya Simba za kuingiza siasa kwenye michezo kwenye tukio la SIMBA DAY kwa kumfanyia kampeni mmojawapo wa wagombea urais Tanzania kama zikifikishwa FIFA basi mtu huyu anaweza kufungiwa kushiriki ama kujishughulisha na Michezo ya Kabumbu kwa muda fulani.
Vifungu vinavyoweza kumkaanga Mo hivi hapa
Vifungu vinavyoweza kumkaanga Mo hivi hapa