Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba. Imasikitisha sana. Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana. Mtulie hivyo hivyo. Hiyo...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
uswahili wa yanga nilishauona hakuna uwezo wa kufanya sajili yoyote ya nje mkibisha mnitoe jf namaanisha nisemachoo
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hili ni fundisho kwa vitimu vidogo vidogo vinavyong'ang'ania Dar wakati hawapati mashabiki kumbe wangejiongeza wakaenda huko mikoani wangepokelewa kama wafalme na wangepata mashabiki
2 Reactions
1 Replies
842 Views
Nimeshangaa....kwa sasa Yanga ni kama wameongeza chuki kwa Mo Dewj. Wanamchukia sana. Mpaka kuhoji kama amekabidhi tsh Bilion 20 au bado. Wanafikiri B 20 unakabidhi tu kama unavyokabidhi tsh...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumepata kuisikia press ya Boss wetu Mohamed Dewji leo akiongea na vyombo vya Habari. Kilichonishtusha zaidi ni kuhusu ile Bilioni 20 aliyotuahidi wanachama kuitoa mara apatapo nafasi ya kusimikwa...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Leo miamba ya soka kukutana saa 4 kamili usiku, huku Sevila ikiwa na wachezaji hatari sana. Barnega, Ocampos, Munir El haddad na Suso.,,. Inter wao wakiwa na Lautaro na lukaku. LAUTARO MARTINEZ...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanayanga wamefanya Jambo kubwa Sana Kukusanyika katika mapokezi Ya Hersi na Wachezaji Toka As Vital.. 1-Wachezaji wamepata Deni.. 2-GSM wamepata Deni na Heshima.. 3-TFF wamepata Hofu na...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Ashley Young ambaye kwasasa anakipiga Inter Milan huu ndio muonekano wake mpya. Zamani alikuwa ana kipara muda wote, kwasasa ameachia nywele kichwani... Watu wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Nimepigwa swali na shabiki wa yanga baada ya kubeza kitendo Chao Cha kumbeba kitemi Senzo. Kwa anayefahamu majibu tafadhali.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salamo Arouch alizaliwa Januari 1, 1923 ni Muisraeli mwenye damu ya kigiriki pia. Alikuwa ni bingwa wa Uzito wa kati wa Ugiriki mwaka 1938 Kipindi Adolph Hitler anawakamata wayahudi na kuwaua...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Akina Lewandowski, Davis, mulkar haya amini. Na wanabahati wangeshapigwa 3. Ni dakika ya 20 yanapelekeshwa Bala na lyon. Na Lyons watashinda hii mechi. Bwahaha sijui eti chuma cha mjerumani...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Ligi Kuu Soka England itaanza kurindima Septemba 12, 2020 na Bingwa Mtetezi, Liverpool inaanzia nyumbani ikiikaribisha Leeds ambayo ni Bingwa wa Championship Baada ya kucheza na Leeds, Liverpool...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Lisbon – Bayern Munich beat Lyon 3-0 and iis in the final of the Football Champions League for the first time since 2013. The top favorite from Munich prevailed on Wednesday at the final...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijasikia idadi ya watu wanaotakiwa kuingia kwenye tamasha la Simba day. Lakini sijawahi kusikia wizara ya afya ikisema Sasa tuache kuvaa barakoa, distancing, kunawa mikono na kunitize mikono...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hutasikia mtu anaongelea majibu ya uchunguzi wa polisi. Ukweli ni kwamba Yanga ilighushi saini ya Morrison. Hili ni kosa kubwa sana na wanastahili kushushwa daraja. Bado inaonesha mchezo mchafu...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani ligi kuu Uingereza kuna dalili mwisho wa msimu Manchester United na Chelsea zikamaliza nafasi mbili za mwanzo za juu na kuna uwezekano mkubwa wakamaliza points zimelingana na hata kuna...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna kanuni mpya itaanza kutekelezwa huu msimu mpya wa VPL. Ili kuleta weledi na kupata watu sahihi, kanuni inataka wakuu wa vitengo vya habari, maarufu kama wasemaji wa club, wawe angalau na...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Ronald Koeman (57) ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Barcelona ya Uhspania, akipewa mkataba wa miaka miwili na kulazimika kuacha kazi yake ya kuifundisha timu ya Taifa ya Uholanzi Koeman...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom