Hizi ndio baadhi ya video za carlinhos wa yanga akisulubu watu

Kwenye hizi video zote sijaona hata video moja kaonyesha uwezo binafsi wakukusanya kijiji,kupunguza mabeki,kama anvyofanya Chretos Chama.
Magoli mengi ya kwenye hizi video kafunga kwa ubovu wa magolikipa na kuvizia.
Huyu dogo hana nguvu kabisa,mpira wa bongo ni purukushani siompira wa one touch.
Ajiandae kukutana na Mzee Onyango,Juma Nyoso na wakina Jonas Mkude.
 
Hahahaha, km nimekuelewa vile Mkuu,haya maoni yako yamemtazama vzr, naomba nikuunge mkono ktk hili
 
Back
Top Bottom