Mambo 10 Niliyoyabaini katika Hotuba ya Mo Dewji Jana

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
1.Hotuba ilikuwa inasubiriwa na wengi ikitarajiwa kukata kiu ya wanasimba lakini haikuwa na jipya saana.Tumeshazoea.
2.Hotuba imeongeza maswali kuliko majibu, billion 87 plus mambo nje ya utaratibu au bajeti ni vyema kukawa na breakdown ya hizo hilo na sio zitajwe lumpsum.
3.Hotuba haijatatua migogoro ya ndani ya timu inayoendelea, wanaoijiita wazee plus vijana wa Gen Z
4. Hotuba haielezi sababu za kukosa makombe yote 4 had yakachukuliwa na Yanga na way forward ni nn
5. Hotuba imesema kuna mabadiliko kidogo kwenye bodi ya wakurugenzi na kamati za ufundi lakin haielezi sababu za kufanya mabadiliko ni nini, lazima kuwe na ratio decidend, the reasons for the decisions, je wasaliti au kuna walioamua kujiondoa
6. Hotuba haijasema nini kilitokea hadi wacheze mechi ya mwisho na yanga huku wengine wakikataa, haoni hilo ndilo limeleta chokochoko
7. Hotuba haijajibu kwann Mo Dewji huonekani uwanjani hata angalau mechi 1? Huoni kutoonekan kwako disband kunachangia timu kuhujumiwa
8. Hotuba haijawaunganisha wanasimba, wazee vs akina kaduguda, Mnandi, doctor mohamed wana kilio, wasikilizwe
9. Hotuba imeonyesha kuwa fedha inatolewa lkn inaliwa na wajanja na wataendelea kuila, GSM aliona hilo akaingia mwenyewe ss wenzetu wanakula raha t
10. Hotuba imenithibitishia pasipo shaka kuwa hata msimu ujao hakutakuwa na maajabu, Yanga ataendelea kuwa mwamba na sisi tutaendelea kuwa aviola.
11. Hotuba haijaeleza transformation imeishia wap
 
MO mwenyewe ana hela basi!? Mali za familia tuu mimi najua”.

1752562319511.jpg
 
Kwani yeye alisema atatoa hotuba kuhusiana na hayo unayoyasema? Kwahiyo unataka akwambie hadi kwanini timu imekosa makombe ma 4 kwani mashabiki hawajui? Na akisema itabadilisha nini?
 
Jamaa Hajui kwamba Simba imekosa makombe Kwa sababu haijapata makombe.
 
1.Hotuba ilikuwa inasubiriwa na wengi ikitarajiwa kukata kiu ya wanasimba lakini haikuwa na jipya saana.Tumeshazoea.
2.Hotuba imeongeza maswali kuliko majibu, billion 87 plus mambo nje ya utaratibu au bajeti ni vyema kukawa na breakdown ya hizo hilo na sio zitajwe lumpsum.
3.Hotuba haijatatua migogoro ya ndani ya timu inayoendelea, wanaoijiita wazee plus vijana wa Gen Z
4. Hotuba haielezi sababu za kukosa makombe yote 4 had yakachukuliwa na Yanga na way forward ni nn
5. Hotuba imesema kuna mabadiliko kidogo kwenye bodi ya wakurugenzi na kamati za ufundi lakin haielezi sababu za kufanya mabadiliko ni nini, lazima kuwe na ratio decidend, the reasons for the decisions, je wasaliti au kuna walioamua kujiondoa
6. Hotuba haijasema nini kilitokea hadi wacheze mechi ya mwisho na yanga huku wengine wakikataa, haoni hilo ndilo limeleta chokochoko
7. Hotuba haijajibu kwann Mo Dewji huonekani uwanjani hata angalau mechi 1? Huoni kutoonekan kwako disband kunachangia timu kuhujumiwa
8. Hotuba haijawaunganisha wanasimba, wazee vs akina kaduguda, Mnandi, doctor mohamed wana kilio, wasikilizwe
9. Hotuba imeonyesha kuwa fedha inatolewa lkn inaliwa na wajanja na wataendelea kuila, GSM aliona hilo akaingia mwenyewe ss wenzetu wanakula raha t
10. Hotuba imenithibitishia pasipo shaka kuwa hata msimu ujao hakutakuwa na maajabu, Yanga ataendelea kuwa mwamba na sisi tutaendelea kuwa aviola.
11. Hotuba haijaeleza transformation imeishia wap
Kwa kifupi jana alikuwa anawambia anawadai bil 67, maana mpaka sasa ametoa bil 87, nyie mlikuwa mnamdai 20.So jamaa anawadai hela yake.
 
Mmekwisha, mtasubiri miaka kumi ijayo muweze kuifuna Yanga na miako ishirini ijayo muweze kuchukua kombe
 
-Timu inayojiunda upya inakuwaje na makombe?
-Viongozi kula fedha,ushahidi unao au unaendeshwa na hisia hasi tu?
-Hotuba umeeleweka, changamoto huwa mnakuwa mnataka mtu awaze au azungumze kama ulivyotarajia bila kupima uhalali na uhalisia.
 
1.Hotuba ilikuwa inasubiriwa na wengi ikitarajiwa kukata kiu ya wanasimba lakini haikuwa na jipya saana.Tumeshazoea.
2.Hotuba imeongeza maswali kuliko majibu, billion 87 plus mambo nje ya utaratibu au bajeti ni vyema kukawa na breakdown ya hizo hilo na sio zitajwe lumpsum.
3.Hotuba haijatatua migogoro ya ndani ya timu inayoendelea, wanaoijiita wazee plus vijana wa Gen Z
4. Hotuba haielezi sababu za kukosa makombe yote 4 had yakachukuliwa na Yanga na way forward ni nn
5. Hotuba imesema kuna mabadiliko kidogo kwenye bodi ya wakurugenzi na kamati za ufundi lakin haielezi sababu za kufanya mabadiliko ni nini, lazima kuwe na ratio decidend, the reasons for the decisions, je wasaliti au kuna walioamua kujiondoa
6. Hotuba haijasema nini kilitokea hadi wacheze mechi ya mwisho na yanga huku wengine wakikataa, haoni hilo ndilo limeleta chokochoko
7. Hotuba haijajibu kwann Mo Dewji huonekani uwanjani hata angalau mechi 1? Huoni kutoonekan kwako disband kunachangia timu kuhujumiwa
8. Hotuba haijawaunganisha wanasimba, wazee vs akina kaduguda, Mnandi, doctor mohamed wana kilio, wasikilizwe
9. Hotuba imeonyesha kuwa fedha inatolewa lkn inaliwa na wajanja na wataendelea kuila, GSM aliona hilo akaingia mwenyewe ss wenzetu wanakula raha t
10. Hotuba imenithibitishia pasipo shaka kuwa hata msimu ujao hakutakuwa na maajabu, Yanga ataendelea kuwa mwamba na sisi tutaendelea kuwa aviola.
11. Hotuba haijaeleza transformation imeishia wap
YANGA BINGWA
 
Wanayanga wenzangu
Tujifunze kwa wenzetu MAKOLO
Haya yanayotokea kwao
Kuna siku yatakuja kwetu
 
Kwa kifupi jana alikuwa anawambia anawadai bil 67, maana mpaka sasa ametoa bil 87, nyie mlikuwa mnamdai 20.So jamaa anawadai hela yake.
Akisajili msimu huu zitafika bilioni 100, ila hajaweka mtiririko huo wa pesa, (breakdown), endeleeni kuishi kwa matumaini

Zikifika tirioni 5 atawambia Simba SC ni mali yake, wanachama wa Simba SC hamna uwezo wa kuona mbali

Endeleeni kusubiri transformation ya zaidi ya miaka 8
 
Back
Top Bottom