Billion 87 za Mo Simba ni mara 2 ya thamani ya wydad Casablanca

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,027
Reaction score
33,003
# anasema kuwa Bilioni 87 ambazo mwekezaji amesema amewekeza ndani ya Simba ni mara mbili ya thamani ya Wydad Cassablanca( yaani unainunua Wydad na chenji inabaki), lakini ukiangalia mafanikio ya Wydad na Simba ambayo mwekezaji amesema amewekezewa Bilioni 87 bado hayalingani.

#KipengaXtra #EastAfricaRadio
Screenshot_20250716-060640.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
# anasema kuwa Bilioni 87 ambazo mwekezaji amesema amewekeza ndani ya Simba ni mara mbili ya thamani ya Wydad Cassablanca( yaani unainunua Wydad na chenji inabaki), lakini ukiangalia mafanikio ya Wydad na Simba ambayo mwekezaji amesema amewekezewa Bilioni 87 bado hayalingani.

#KipengaXtra #EastAfricaRadioView attachment 3407548

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wajinga wengi mtaburuzwa na wachambuzi wajinga. Hizo 87B, kwani Mo amesema ni thamani ya Simba au ni matumizi tangu 2018? Unadhani Wydad ikiwa na thamani ya 30B, matumizi yake kwa miaka 7 hayawezi kuzidi 100B? Ujinga mzigo, unafananisha thamani a matumizi ambavyo ni vitu viwili tofauti
 
Nyinyi mashabiki mbumbumbu ndiyo mnaochangia pakubwa kumfanya mwekezaji azidi kuwa muongo, mjanja mjanja, na mbabaishaji.

Inakuwaje sasa mara zote anaongelea matumizi tu! Mbona haongelei na faida aliyoipata ndani ya huo muda? Au anapata hasara tu kupitia yale matangazo yake kwenye jezi, na pia kulitumia jina la timu kujitangaza kibiashara?

Na kama hapati faida, kwa nini asiuze hisa zake kwa watu wengine! Au na yeye ajitoe kama alivyofanya Yusuph Manji kwenye klabu ya Yanga kipindi kile?
 
Ninyi mnaohoji faida anayopata Mo, mmewahi kuhoji faida anayopata mdhamini wenu kwa kuwapa sh. 1,300/= tu ya kila jezi anayouza halafu kiasi kilichobaki anabeba?
 
Umeona kati ya sisi na mdhamini wetu kuna upande unalalamika? Ila kwa upande wenu vipi! Mwekezaji wa timu analalamika, na mashabiki nao wanalalamika! Hamuoni kama mnazingua?
 
Wajinga wengi mtaburuzwa na wachambuzi wajinga. Hizo 87B, kwani Mo amesema ni thamani ya Simba au ni matumizi tangu 2018? Unadhani Wydad ikiwa na thamani ya 30B, matumizi yake kwa miaka 7 hayawezi kuzidi 100B? Ujinga mzigo, unafananisha thamani a matumizi ambavyo ni vitu viwili tofauti
Mbona povu Mkuu [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi mashabiki mbumbumbu ndiyo mnaochangia pakubwa kumfanya mwekezaji azidi kuwa muongo, mjanja mjanja, na mbabaishaji.

Inakuwaje sasa mara zote anaongelea matumizi tu! Mbona haongelei na faida aliyoipata ndani ya huo muda? Au anapata hasara tu kupitia yale matangazo yake kwenye jezi, na pia kulitumia jina la timu kujitangaza kibiashara?

Na kama hapati faida, kwa nini asiuze hisa zake kwa watu wengine! Au na yeye ajitoe kama alivyofanya Yusuph Manji kwenye klabu ya Yanga kipindi kile?
[emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom