Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii.
Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa...
(1) HAKUNA MABADILIKO YA UONGOZI, nilipoona Try again amejiudhuru na Mo dewji kuja kumtambulisha tena kuwa mjumbe hii ilinifanya nione kabisa hakuna serious yoyote bali wajomba wanapumnzishana tu...
Uzembe wa viongozi wetu wa Simba.
Leo Balla Conte amesaini Yanga
Pendekezo la Fadlu Davids limepuuzwa na viongozi
Viongozi wao wanahitaji Kagoma
Hakika Rage alikuwa sahihi kutuita mbumbumbu
These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa.
Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu...
Visiwa vya Faroe na Gibraltar ni nchi zilizopo barani ulaya...
Hizi ni nchi ambazo hazina mamlaka kamili kuitwa mataifa huru kama ilivyo Zanzibar tu.
Gibraltar ni ki-nchi fulani chenye watu...
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni...
Leooo naonaaaa mwendo WA siasa kila kuonaaa
JAMANI TUMEHAHIRISHA DERBY mara TATU na watu wamechexa na wameliwa kichwa mnyama
MNASHANGAA nn KUHAIRISHA uteuzi haya n mambo ya kawaida EMBU...
Mohamed Dewji ana utajiri wa Usd 2.2 Billion sawa na Shilingi 5.83 Trilioni za kitanzania
Kwa hesabu rahisi:
87,000,000,000/5,830,000,000,000 * 100 = 1.49%
Hii ni chini ya asilimia mbili ya...
Wadau wa soka Tanzania salami kwenu.
Kwa waliofuatilia press mbili , moja ya Mo Dewji siku anaonesha Hundi ya Bilion 20 na press ya Leo ya Semaji Lao Haji Manara watakuwa wameona kitu kinaenda...
Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui.
Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi.
Mitandao ya kijamii...
Wakuu
====
Habari ya Khalid Aucho imeishia hapa?
Yanga wamekamilisha usajili wa kiungo wa CS Sfaxien, Mussa Balla Conte (21) kwa mkataba wa miaka mitatu hadi Juni 2028.
Conte, ambaye pia...
Lipeni pesa za Dube mnajifanya kuchangisha pesa ya tofari kwani mnaujenzi gani?
Au makombe yametoboka mnataka kuyajenga, haya tumeshajua hamna ela mmeanza kupitisha mabakuli et tofari la ubingwa...
Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo:
1) Wasanii kutumia...
Ibrahim Masoud Maetsro amewahi kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba, hivyo hakuna shaka anapata habari nyingi za Simba kutoka kwa viongozi wenzake wa zamani, Maestro anapozungumza anaongea...
I salute you kinsmen.
Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu.
Yanga wanabebwa
GSM anaharibu ligi
Udhamini wa team nane
Mangungu...
GSM: "Yanga Bingwa"
MO: Unajua hii timu inanimalizia sana pesa zangu, tangu 2017 nimewekeza bilioni 87 na hakuna chochote ninacho pata. Nimewanunulia wachezaji boxer mpya za kuvaa, nanunuaga...
Eti Simba SC kufungwa na Yanga SC mara 5 mfululizo siyo Kosa au Jambo la Kushangaa kwani hata Real Madrid nayo imefungwa na FC Barcelona mara 4 au mara 5 mfululizo.
Pumbavu Wahed zenu wenye hii...