Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wakuu samahani nilikuwa naomba kujuzwa ni mchezo Upi kati ya karate na boxing mzuri kujifunza tukianzia kwenye urahisi wa kujifunza , mitindo ya kuicheza ,mazoezi na kwny self defence upi ni mzuri...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Sanchez: Nilitaka kuondoka Man Utd na kurudi Arsenal baada ya kufanya mazoezi siku ya kwanza. Mshambuliaji wa kimataifa wa Chile, Alexis Sanchez amekiri kuwa alitaka kuondoka Manchester United na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Club ya Simba imechelewa sana kuwa na Duka la Club na hasa ikizingatiwa club ipo kwenye very stragic area for business. Cha kufanya sasa ni kuondoa hizo frame za watu binafsi na kuanzisha duka la...
10 Reactions
14 Replies
3K Views
Hakika inasikitisha sana TFF na Klabu zetu zinapowatelekeza Wachezaji wake walioliletea Taifa na Vilabu zetu wakati wanacheza mpira.Mchezaji Allan Shomari alikuwa Mchezaji mahiri wa Klabu ya Yanga...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Habarini Wananchi Wote, Kufuatia Idara ya uhamiaji kuagiza Timu zote ambazo zimeajiri kocha na Wachezaji wa Kigeni kuwasilisha Majina, Vibali vya kuishi na Vibali vya Kazi kwenye ofisi za...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
Habari zinadai muunguja hataki kwenda mazoezini hadi alipwe chake je kuna ukweli juu ya hilo? Means yanga wanadaiwa bado? Gsm kazi yao IPI? Source ni facebook pages za wanayanga
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Wasalaam wana bodi. Kwanza nianze kutoa kongole kwa uongozi wa club yangu ya young African (yanga a.k.a wakimataifa). Tulichofanya tarehe 30 jumapili pale kwa mkapa ni uthibitisho kuwa yanga ni...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Sijui analipwa bei gani kwa mwezi huyu mwamba. Najua sisi mashabiki kumuongezea mshahara ni suala gumu kulitekeleza. Ila acha tutumie kama kivumishi cha kumpa anachodtahili huyu box to box...
14 Reactions
29 Replies
5K Views
Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa. Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha...
13 Reactions
72 Replies
7K Views
Ni kweli kwamba kapuku hana thamani, lakini wakati mwingine umasikini tunajitakia tu , kwa umati wa wanachama na wapenzi wa simba nchi nzima timu hii haistahili kuitwa masikini, kama tutapata...
15 Reactions
64 Replies
6K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nchini, Brazil limetangaza sera mpya ya malipo na posho kwa wanasoka Wanawake na Wanaume Sera hiyo itafawanya wanasoka Wanawake na Wanaume wawe wanalipwa kiwango...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
*KALENDA YA MASHINDANO YA CAF 2020/2021 IMETOKA RASMI 01 Sept 2020* *USHIRIKI WA TIMU* Kulikuwa na Upotoshaji Mkubwa unaoendelea kila sehemu katika ushiriki wa timu za Tanzania kwenye mashindano...
5 Reactions
40 Replies
8K Views
Habarini Wana Yanga Wenzangu, Leo tukiwa pale Mkapa Stadium tukifanya show za kisanii na sarakasi zilizotaka kumdondosha Konde Boys kwenye rope, Wenzetu kule Arusha walichakaza Vibaya Namungo kwa...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna habari iliyokuwa mtandaoni inayotrend kuwa Kocha na Mchezaji wa Simba wamepigana mazoezini kabla ya mechi ya fainali ya ngao ya jamii, Nao waandishi wa habari bila kufanya tafiti wakaipeleka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Papy Kabamba Tshishimbi aliyemaliza mkataba wake na Yanga yupo njia moja kujiunga na AS Vita kuziba nafasi ya Mukoko Tunombe aliyejiunga na Yanga.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Klabu ya Soka ya Yanga imeamua kuachana rasmi na Walinzi wao Kelvin Yondan na Juma Abdul Jafary baada ya kushindwa kufikia maafikiano.
5 Reactions
39 Replies
8K Views
Tukiwa tunakaribia kuingia mwezi wa nne baada ya kuanza kwa msimu wa soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya, yupi mpaka sasa ni mchezaji ambaye amepafomu vizuri kushinda wenzake kiasi cha kuweza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani, jamani, jamani hii Yanga Day Imetisha! Yanga kweli ni kiboko yao Kwanza imejaza uwanja watu wamefurika mpaka nafasi hakuña wengine wamebaki nje ukilinganisha na Simba day uwanja ulipwaya...
17 Reactions
37 Replies
5K Views
Back
Top Bottom