Kalenda ya mashindano ya 'CAF 2020/2021', imetoka rasmi

Da Gladiator

JF-Expert Member
Aug 3, 2020
1,641
2,644
*KALENDA YA MASHINDANO YA CAF 2020/2021 IMETOKA RASMI 01 Sept 2020*

*USHIRIKI WA TIMU*
Kulikuwa na Upotoshaji Mkubwa unaoendelea kila sehemu katika ushiriki wa timu za Tanzania kwenye mashindano ya CAF Interclub 2020/2021 kuwa Tunawakilishwa na Timu 4 sababu Libya imetolewa ila taarifa rasmi na kalenda imetoka leo 01 September 2020 ni Rasmi Tanzania itawakilishwa na Timu Mbili tu kwa Maana Simba Sports Club kwenye Club Bingwa na Namungo kwenye Kombe la Shirikisho.
Kuhusu Mjadala wa ushiriki wa Timu 4 Tanzania mpaka sasa hakuna mpaka hapo Katika Timu 12 za mwanzo kwenye Rank ambako Libya ipo zishindwe wao kufanya Maombi ya Kuomba Kushiriki ndipo Timu nchi nyingine zitaangaliwa hapo Tanzania ndio ya Kwanza kuangaliwa maana ni ya 13 nyuma ya Libya, Na Dirisha la Usajili wa CAF Interclub imefunguliwa leo 01 September hadi 20 October 2020 ndio Mwisho na kujua kuwa kama kuna Mdondo wowote ule au hapana.

UTARATIBU WA MASHINDANO
Utaratibu utatumika kama kwa mashindano yaliyomalizika msimu huu ila kilichobadilika ni muda wa mashindano sasa yanaanza rasmi 20 NOVEMBER 2020 na kumalizika 17 JULY 2021 na inavyoosha ni kuwa mwezi November hadi December 2020 ni mechi za Preliminary halafu mwezi February hadi April ndio kuanza Group Stage na mwezi May ni Robo Fainal, Mwezi June ni Nusu Fainal mwisho Fainal ni mwezi July 2021.

*RATIBA KAMILI IKO HIVI*

Hapa ni kwa Timu zote CL na CC

*PRELIMINARY ROUND*
20 - 22 November. - 1st Leg
27 - 29 November - 2nd Leg

*1ST ROUND*
11 - 13 December - 1st Leg
18 - 20 December - 2nd Leg

*ZIADA KWA KOMBE LA SHIRIKISHO PEKEE*
12 - 13 February 2021 - 1st Leg
18 - 19 February 2021 - 2nd Leg

*DRAW GROUP STAGE*
- 17 January 2021 - Draw ya Champion League Group Stage.
- 20 February 2021 - Draw ya Confederation Cup Group Stage.

*CHAMPIONSHIP LEAGUE - GROUP STAGE*
12 - 13 February 2021 - Match 1
23 - 24 February 2021 - Match 2
05 - 06 March 2021 - Match 3
16 - 17 March 2021 - Match 4
02 - 04 April 2021 - Match 5
09 - 11 April 2021 - Match 6

*CONFEDERATION CUP - GROUP STAGE*
10 - 11 March 2021 - Match 1
16 - 17 March 2021 - Match 2
02 - 04 April 2021 - Match 3
09 - 11 April 2021 - Match 4
21 - 22 April 2021 - Match 5
27 - 28 April 2021 - Match 6

*30 APRIL 2021 - DRAW*
Draw QUARTER FINAL - FINAL kwa Championship League CL na Confederation Cup CC.

*QUARTER FINAL - CAF InterClub*
14 - 16 May 2021 - 1st Leg
21 - 23 May 2021 - 2nd Leg

*SEMI FINAL - CAF Interclub*
18 - 21 June 2021 - 1st Leg
25 - 27 June 2021 - 2nd Leg

*FINAL CAF INTERCLUB 2020/20201*

Confederation Cup - CC
10 JULY 2021

Championship League - CL
17 JULY 2021

Hapa Ndio Tunatarajia Kuona MTORI MOTO BAKULI MOTO

*MUNGU IBARIKI TANZANIA*



View attachment 1556988
 
Huku sisi tunaijua hyo timu kama ni timu ya wazee wastaafu wa Africa nzma wanaolelewa na tajiri mkubwa huko kwenu🤣🤣🤣🤣
Sasa umeongea, vipi huko kwenu COVID19 bado ipo ?! Kwetu imeisha kwa maombi.!
 
Back
Top Bottom