Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,231
Leo CAF imetoa orodha ya nchi 12 ambazo zitapeleka timu 4 kwenye michuano ya klabu Africa.
Yanga ilikuwa ikitegemea kwamba Tanzania itapeleka timu 4 baada ya libya kufuta ligi yao kipindi cha Corona ,ila leo kwenye orodha Libya ipo pia nafasi ya 12.
Kwahiyo Tanzania itawakilishwa na vilabu viwili ambavyo ni Simba na Namungo.