Mwaka mmoja baada ya kushusha bei ya vifurushi vyake, kampuni ya Multichoice kupitia Digital Setilitte Television (Dstv) imetangaza bei mpya ya vifurushi vyake. Bei hizo zitaanza rasmi Septemba...
Wakuu Salaam;
Leo inapigwa mechi kati ya Fc Bayern ambaye ni bingwa wa UEFA na Sevilla Fc ambaye ni bingwa Uefa Europa league katika kutafuta bingwa wa Uefa Super Cup.
Mechi hii inapigwa katika...
Tunapozungumzia Timu yenye mashabiki kipenzi cha mioyo ya Watanzania yenye washabiki wengi Afrika Mashariki wapatao takribani Milioni 15 Tanzania na Afrika Mashariki kwa Ujumla, Timu Bingwa wa...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mtangazaji wa Kituo Cha Habari Cha (BBC) Swahili, Salim Kikeke, mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta yupo nchini Uturuki kwa ajili ya kukamilisha...
KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI).
Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki...
KUHUSU SOKA LETU NCHINI TANZANIA, TUJADILI KUOKOA MPIRA WA MIGUU NCHINI(TATHIMINI).
Bandugu naitwa Don Nalimison Mwanamziki na mdau wa soka Duniani Mimi sio kocha Bali kocha ambaye ni shabiki...
=======
Aston Villa’s Smith discusses Samatta and Betrand Traore omission in Sheffield United win
Mbwana Samatta was omitted from the Aston Villa squad that defeated Sheffield United 1-0 on...
KAZI ya kwanza ya beki anapokua uwanjani ni kuzuia mashambulizi. Anafanya hivyo akihakikisha mipira hatari inayoweza kusababisha bao haimfikii golikipa. Kwa kufanya hivi, beki anawazuia wachezaji...
Tff ndie mdau wa kwanza wa mpira nchini kwetu hamna sera yeyote ile hata kutueleza nia yenu siku moja hatujawahi kusikia kuhusu sehemu za kuchezea yaani pitch. Inasikitisha kwakweli kwa taasisi...
Mimi naanza na huyu Sergio Ramos, ni miongoni mwa wachezaji wanaochukiwa na timu pinzani kutokana na aina yake ya uchezaji, jihadi bila kusahau kebehi zake.
Karibu kwa mjadala...
Kuna maneno mengi sana kwenye magroup yakiwahushisha asilimia kubwa kuihujumu timu aidha kuihujumu GSM
Wanadai wanawambia sana taratibu za kusaidia timu wanaonekana waongo wanawasikiliza sana...
Habari wadau,
kumekuwepo wimbi la wachambuzi wa mpira hasa wa miguu hapa nchini. Je wewe yupi unamkubali, na kwa vigezo gani?
Ainisha hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.
Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapo.
Wachezaji sita wa Simba wa kimataifa wameitwa kwenye timu zao za Taifa. Wachezaji wa Yanga imekuwaje hata hawachezei timu zao za Taifa. Hii ina maana gani kwa soka la Bongo? Wamenunua makapi au...
Kichwa cha habari kinajieleza.
Kwa nini kiwanja pande hizi?
Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande...
Mdau wa football...
Katika maisha ya soka kuna wachezaji waliocheza timu moja mara 2..
Yaani akauzwa, au mkataba wake ukaisha akaondoka then akarudi tena kwenye klabu yake ya zamani na maisha...
Inaniuma sana nikiwa Kama shabiki wa soka mkubwa. Hasa nikiwatazama mahasimu wakubwa wa soka waliokuwa wakinogesha soka kwa uhasimu wao uliowekwa na mashabiki wa soka duniani?
Majina yao...
Naona kama kalenda ya kimataifa imebana hadi tarhe 17 na team kama simba ina wachezaji sita wa kimataifa wameitwa huko bado hapa ndani kwetu sijui itakuwaje?
TFF waliliangalia hili, angalau wao...
Ni Simba SC dhidi ya African Lyon pale Azam Complex. Mechi itaanza hivi punde ni mechi ya kirafiki kuwapa burudani watanzania wote.
Mako dinda mako stamina. Bendera chuma mlingoti chuma.....Show Show